Series (Special thread)

Napenda historical movie yoyote hujanijulia kumbe, hata stories ninazoandika mwenyewe hua naunda mazingira ya zamani sanaa ndio natungia story humo
Anza kutembelea mdogo ukajionee kabisa majengo yake, ila bara la ulaya ndio linaongoza kwa kuwa na majengo ya kizamani,ngoja nijichange nikifika age ya pension nitafanya tour ya maeneo ya ulaya yenye historia
 
Niliishindwa mapema sana!
Ni series ambayo matukio yake yapo katika pattern.

Unavyo struggle kutaka kujua sababu ya tukio fulani unagundua katikati ya scene kumbe hata character wenyewe wanaocheza hiyo script nao hawajui sababu na wapo katika process za kutafuta majibu.

Kwa hiyo inaanza kama haieleweki halafu unavyozidi kuendelea ndivyo namna unavyozidi kupata concept.
 
Anhaa acha nitulize fahamu ntaichek tena episode nzima nimeielewa mwanzoni tu🤦🏽‍♀️
 
Ndio nimeanza episode 1 landman . Iko poa scene yagari kugongwa ndege na Ile ya mwanzo wakisaini mkataba ziko poa sana.
Landman nilianza kuangalia wakati inaachiwa vipande vipande mpaka nikaikata season 1

Baada ya hapo nikawa nasubiria season 2 nione maisha ya dogo yatakuwaje nikaona inachelewa.

Ilipotoka season 2, tayari nikawa sina mudi.

Hii ni sawa na Tehran na Night Agent ilivyokuwa. Radha yake ni kama ilipungua baada ya kipindi kirefu cha kusubiri.

Huwezi amini hadi leo Night Agent nimekosa kabisa mzuka wa kuangalia season 2
 
Anza kutembelea mdogo ukajionee kabisa majengo yake, ila bara la ulaya ndio linaongoza kwa kuwa na majengo ya kizamani,ngoja nijichange nikifika age ya pension nitafanya tour ya maeneo ya ulaya yenye historia
I will, nitaanza na Greece, nishatengeneza marafiki,
Egypt ipo kwenye list, Turkey, Italy, Scandinavian countries na England,
Tutafute hela kwa kweli
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…