Ni animation batmanHeyy, kuna ile Batman, gotham city nilikuwa naangalia miaka ya nyuma ni anime? Nimeangalia I want to eat ur pancreas...
Okay, ni kazi kuangalia anime🤦🏽♀️Ni animation batman
😄 Kwann missOkay, ni kazi kuangalia anime🤦🏽♀️
Zinachosha!😄 Kwann miss
Uliotazama ilikua na lugha gani hyo ITYP ?Zinachosha!
English, kwanini imepewa hilo jina?Uliotazama ilikua na lugha gani hyo ITYP ?
Ni jina tu sio mara zote title ikaendanda na content.English, kwanini imepewa hilo jina?
Kumbe, sawa!Ni jina tu sio mara zote title ikaendanda na content.
Pata tym angalia grave of firefliesKumbe, sawa!
Sawa nitakupa feedbaqPata tym angalia grave of fireflies
Iwe ni ENG DUBSawa nitakupa feedbaq
Niliishia Ep ya kwanza baada ya kusema kateka treni nikajua tu hamnamo kitu humu, unatekaje treni ni bora wangecheza kwa kuteka meliHii Hijack Season 2 Mwandishi Kazingua,
1. Sababu ya kuteka treni nzima Sababu ya Mwanamke tena ambae walishaachana huko. Na ambae tayari huyo Mwanamke ana mwamba mwingine anakula.
2. Abiria waliotekwa walipata chance nyingi na za wazi za kutoka nje ya treni lakini hawakutoka (Hakuna uhalisia).
Bora hata Bomu lingekuwa labda na condition kwamba uzito wa treni ukipungua tani Fulani linakuwa Armed na kuanza kuhesabu countdown.
Halafu yule Chief of Police daah, Kilaza Sana.
Na yule binti aliekuwa Control centre ya treni yaani mpaka episode ya 7 sijajua Kazi yake nini, kazubaa tu, hajiongezi, hatoi ushauri wowote, anatoa tu macho.
Yaani series haina Msisimko Kabisa.
Seran ,Pata tym angalia grave of fireflies
1. Hata wakati imetekwa ndege alikuwa anamtumia taarifa mwanamke huyo huyo mama wa mtoto wake japo wameachana.Hii Hijack Season 2 Mwandishi Kazingua,
1. Sababu ya kuteka treni nzima Sababu ya Mwanamke tena ambae walishaachana huko. Na ambae tayari huyo Mwanamke ana mwamba mwingine anakula.
2. Abiria waliotekwa walipata chance nyingi na za wazi za kutoka nje ya treni lakini hawakutoka (Hakuna uhalisia).
Bora hata Bomu lingekuwa labda na condition kwamba uzito wa treni ukipungua tani Fulani linakuwa Armed na kuanza kuhesabu countdown.
Halafu yule Chief of Police daah, Kilaza Sana.
Na yule binti aliekuwa Control centre ya treni yaani mpaka episode ya 7 sijajua Kazi yake nini, kazubaa tu, hajiongezi, hatoi ushauri wowote, anatoa tu macho.
Yaani series haina Msisimko Kabisa.
Kiukweli sikuwahi kumkubali Kayce as a character kwenye Yellowstone, zile ups and downs na familia yake zilikua zinanichosha sana, lakini mostly ni yeye mwenyewe as a character sijatokea kumkubali.. so nadhani hii itanipita!View attachment 3551077
Kama uliipenda Yellowstone, basi huu ni muendelezo baada ya kifo cha mzee Dutton. Mwanaye Kayce Dutton ni Sterling humu. Episode ya kwanza imetoka
Nilijitia kiherehere kuangalia movie ya Taraj Straw nilikuwa nalia kama mwehu😪 wa kunibembeleza ndio hayupo 😫Seran ,
Usiiangalie hiyo, jana usiku nimeangalia tu trailer lake nimehuzunika na zile comments ndio zikazidi kunifanya nisitake kuiangalia kabisa, binafsi sipendi movies za kuhuzunisha ila kama unazipenda icheki, ukilia uwe na wakukubembeleza
Siku nyingine ukihitaji kubembelezwa nipigie namba yangu ileileNilikitia kiherehere kuangalia movie ya Taraj Straw nilikuwa nalia kama mwehu😪 wa kunibembeleza ndio hayupo 😫
Episode ya kwanza tu ups and downs zakumwagaKiukweli sikuwahi kumkubali Kayce as a character kwenye Yellowstone, zile ups and downs na familia yake zilikua zinanichosha sana, lakini mostly ni yeye mwenyewe as a character sijatokea kumkubali.. so nadhani hii itanipita!