Series (Special thread)

Iko vizuri sana aisee😊
 
nimeicheki kumbe ina season moja bado hapo vizuri, alafu nimeona yule jamaa wa game of thrones yupo
Eh jamaa wa GOT yupo na jamaa wa VIKINGS VALHALA yupo pia, iko poa sana,

Kuna lishenzi limoja lilimpiga mwanamke hadi ngumi za tumbo uwii nilipiga makelele MUACHEEEEE nilijisikia vibaya baadae nikakumbuka ni maigizo😂😂😂
 
Dr. Mariposa Nimefika ep ya 03 ila naona ni nzuri,
Nakubaliana na wewe hata mimi ningekufa tu kama ningekuwa mtumwa maana sina mwili wa gladiator 😁
 
Dr. Mariposa Nimefika ep ya 03 ila naona ni nzuri,
Nakubaliana na wewe hata mimi ningekufa tu kama ningekuwa mtumwa maana sina mwili wa gladiator 😁
Unapambana tu si umemuona Kwame anavyokomaa katikati ya Magiant😃😃 mimi ningekua Aura dada ake Kwame ila watu kama sisi ndio hatudumu ningekua nishasulubiwa🥹🤣
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…