Series (Special thread)

Hivi Vincenzo Jr umeshaiona banshee nina miaka mingi natamani kuirudia! Dr. Mariposa kaangalie The Guest binafsi nimeipenda!
Kwanza nikushukuru kwa ile series 'THOSE ABOUT TO DIE' kali sanaa nipo episode ya 5, yaan natamani isiishe,🔥🔥

Banshee niliiangalia ila siwezi kuiname kama best series kwa upande wangu ni nzuri ila sio kiivyo,

The Guest nimeona ni movie ya mwaka 2014 trailer limenivutia nitaichekiiiii,

Umeona Spartacus: House of Ashur? sijaielewa kabisa nimeishia ep 3, labda nivute pumzi nitaitizama hata mwakani, lol
 
Nimemaliza kuicheki muvi Iko poa
 
Kwanza nikushukuru kwa ile series 'THOSE ABOUT TO DIE' kali sanaa nipo episode ya 5, yaan natamani isiishe,🔥🔥
Mwenyewe niliipenda sana natamani iendelee soon sipendi kusubiri sana huwa nasahau yaliyopita..
Banshee niliiangalia ila siwezi kuiname kama best series kwa upande wangu ni nzuri ila sio kiivyo,
Mimi nimeiona niko form 3 ni miaka mingi hata siikumbuki vzr kwakweli😆
The Guest nimeona ni movie ya mwaka 2014 trailer limenivutia nitaichekiiiii,
Tamu sana..hii ni ya 2025 series ya ki-colombia ya kina Lorenzo..
Umeona Spartacus: House of Ashur? sijaielewa kabisa nimeishia ep 3, labda nivute pumzi nitaitizama hata mwakani, lol
Jamani sijaipenda nisiwe muongo!😅 nimeshindwa kuiangalia.. angalia Hostage ya 2025 sjui kwann ina episodes 5🤔
 
Oh kwa kua uliiona ukiwa form 3 ndio maana basi, ile minjunjano ya kila saa ilikupagawisha enzi hizo za balehe😄😄

Imebidi nirudi tena kuitafuta The Guest ya kina Lorenzo japo niliacha kitambo kuwatizama, for you i will watch,

Nitaicheki na Hostage pia
 
Depal Carleen Seran Mr Q Vincenzo Jr Dr. Mariposa Angel Nylon

‎The greatest showman ( romance, drama, musical )


‎Pt Barnum toka akiwa mtoto alikuwa na ndoto ya kuja kufanya kitu kikubwa na special kwenye dunia ila umaskini unakuwa kikwazo, anamua kutafuta tu kazi ya kawaida kwenye bank ili apate pesa za kumuoa msichana aliyekuwa anampenda toka utotoni, baada ya kuwa kwenye familia kwa muda anapata watoto wa kike wawili ila bado anaone hana furaha hivyo anamua kuacha kazi na kukopa mkopo benki ili kufungua ukumbi wa maonyesho ya sarakasi huku akichukua watu waliokuwa wanatengwa na jamii kipindi hicho miaka ya 70s ndio wawe watu wake wa maonyesho.

‎Ni movie inayonyesha hustler kwenye kupigania ndoto , racism, gharama ya tamaa ya kutaka zaidi ya ulichonacho
 
Nimeiweka kwenye list,
Thanks Dosho imenishawishi
 
Naishusha play dirty na caught stealing then nitaicheki hiyo
 
😅 kati ya hizi na za super heroes ipi unaweza jitahidi kuangalia
Bora hiyo kwakweli 😁😁

Superheroes kwakweli hapana. Japo zipo chache kama wonder woman ya kwanza, superman, Deadpool, na daredevil naweza kuziangalia (sijajua kama nimepatia hiyo category ya superhero)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…