ReKila aliyetoa suggestion ya hii mizigo abarikiwe sana,
The rip, (no comments)
Cross, (nimeipenda)
Hijack 2(inaendelea),
His and Hers, (siyo mbaya)
Night Manager 2 (inaendelea),
People we meet on vacation, (inafurahisha)
Stoker, (Imenishangaza)
Steal, (nzuri ila mwishoni kuna kitu sijawaelewa)
Another Simple Favor, (movie yake ya kwanza Simple Favor inafurahisha naona kama hii wamelazimisha sana kuiendeleza)
Abbott Elementary 1 (nilitamani tu kujua inahusu nini, inafurahisha ila haijanishawishi kuendelea)
Hacks 1, (inafurahisha)
Night Manager..!? upinde..!???The night manager nasikia kuna mdau alisema kuna mambo ya upinde sana...nikaachana nayo
Re
Hii mbona iko poa sana tu maybe ukiwa na matarajio yako kichwani ila ukitaka kutazama bila muingiliano wa hizi comment ni series Kali sanaAverage chifuu sio kali
season 2 imetoka nayo ni 🔥Iyo series ni kali sana nilikua naangalia hadi siku nikitoka kanisani Sabato
Yule loki fundi sana japo season 1 alitaka kuzinguaNight Manager..!? upinde..!???
usisikilize maneno ya watu ndugu yangu, unakosa one of the best series huku unaona..!
Vyuma kama hivi ndio vyenyewe. Naiporomosha haraka
Ngoja niicheki chifuNight Manager..!? upinde..!???
usisikilize maneno ya watu ndugu yangu, unakosa one of the best series huku unaona..!
Nimeicheki muda tuseason 2 imetoka nayo ni 🔥
Duuh wanakera hao jamaaYule loki fundi sana japo season 1 alitaka kuzinguande kidog
Hii series hadi sasa bado haijachangamka, labda tuendelee kusubiri episodes zijazo
Mzee series imechangamkaa episode ya 1 ni vile ujaipa umakini tu bonge ya story nakumbuka kipindi naangalia GOTHii series hadi sasa bado haijachangamka, labda tuendelee kusubiri episodes zijazo
Ngoja tuoneMzee series imechangamkaa episode ya 1 ni vile ujaipa umakini tu bonge ya story nakumbuka kipindi naangalia GOT
Hiki chuma sio powa
Huyo dogo kala zungu kichwani limemkubali