Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,854
- 82,000
Hiki chuma kizuri sana kuanzia story tu mtazamaji unapenda na kile kipande mwanetu alivyompeleka yule bibie magetoni kunyonya pale tulivyokuwa cinema fuli shangwe aisee nikazani bange imenipanda kichwani kumbe ukumbi mzima unashangilia na vile vipande vya kutisha vinaogopesha sana aisee 😀 wale vampaya sio powaVincenzo Jr umeiona Sinners nominations za tuzo za oscar, inazo nyingi mno, mi nilijua hii movie watu wanasema ni mbaya ila itakuja kufanya maajabu ina nomination
Best Picture
Best Director
Best Actor in a Leading Role: Michael B. Jordan
Best Actor in a Supporting Role: Delroy Lindo
Best Actress in a Supporting Role: Wunmi Musaku
Best Writing (Original Screenplay)
Best Casting
Best Cinematography
Best Costume Design
Best Film Editing
Best Makeup and Hairstyling
Best Original Score
Best Original Song: "I Lied to You"
Best Sound
Best Visual Effects
Imevunja rekodiVincenzo Jr umeiona Sinners nominations za tuzo za oscar, inazo nyingi mno, mi nilijua hii movie watu wanasema ni mbaya ila itakuja kufanya maajabu ina nomination
Best Picture
Best Director
Best Actor in a Leading Role: Michael B. Jordan
Best Actor in a Supporting Role: Delroy Lindo
Best Actress in a Supporting Role: Wunmi Musaku
Best Writing (Original Screenplay)
Best Casting
Best Cinematography
Best Costume Design
Best Film Editing
Best Makeup and Hairstyling
Best Original Score
Best Original Song: "I Lied to You"
Best Sound
Best Visual Effects
Siku hizi haugopi tena hongera mwayaaa 😁😀🔥🔥🔥🔥🔥
one of the BEST nakubaliana na wewe, mimi huwa siwezi rudia movie ila hii niliirudia na ajabu nikawa ‘thrilled’ again..!!
kwa ambaye hajaitazama asiikose..!
Haina mambo Yale pendwa?THE Internship
Sio mbaya kwa kupotezea muda. Kuna jamaa amerejea kazini baada ya kupotea muda mrefu kwenye Ile series ambayo sita itaja jina au ngoja niitaje STRIKE BACK blind spot na blacklist
View attachment 3533493
Mwamba hajastua misuli aseeHaina mambo Yale pendwa?
Mzembe sana huyo mwanetu 😀 😀Mwamba hajastua misuli asee
Wasijisahau kutoa tu season haalfu ikaja ku flop itakuwa hasara maana siku hizi propagada zinabadilika muda wowote,Stranger things wamenogewa oooh ndio mara ya mwisho hatutoi Tena Kiko wapi mammmmaeee wanaleta msimu wa 6
View: https://x.com/i/status/2014753535200469380
Vincenzo Jr mbona hiyo ni parody account 🤣 hao jamaa kazi yao ni kupost ujinga, STRANGER THINGS inaendelea lakini itakua na character tofauti na tukio litatokea kwenye mji mwingine kabisa sio HAWKINSStranger things wamenogewa oooh ndio mara ya mwisho hatutoi Tena Kiko wapi mammmmaeee wanaleta msimu wa 6
View: https://x.com/i/status/2014753535200469380
Kumbee 😁😀😀😀😀Vincenzo Jr mbona hiyo ni parody account 🤣 hao jamaa kazi yao ni kupost ujinga, STRANGER THINGS inaendelea lakini itakua na character tofauti na tukio litatokea kwenye mji mwingine kabisa sio HAWKINS
Hao jamaa wakipost kitu kina enda viral sana ukijichanganya unaweza kusema ni taarifa ya kweli , ila ukiingia kwenye page yao sasa unakutana na ujinga mtuKumbee 😁😀😀😀😀
Hao jamaa wakipost kitu kina enda viral sana ukijichanganya unaweza kusema ni taarifa ya kweli , ila ukiingia kwenye page yao sasa unakutana na ujinga mtuKumbee 😁😀😀😀😀
Thanks kwa analysis nzuri.. interstellar niliicheki, aisee sikutamani iishe.1. The prestige
Wana magicians wawili wakiwa wanaharibiana kazi na pia kutafuta ni trick gani itakuwa nzuri zaadi kwa watazamaji
2. Dark knight, hii ni story ya kwenye comics za Dc, inahusu batman na the joker
3.Interstellar nahisi utakuwa ushaiona
4. Isonmia sijawahi kuiona ila ni nzuri
5. Inception,
Inahusu kundi la watu wenye ujuzi wa kuingia kwenye ndoto yako na kukupa wazo au kuchukua siri ulizoficha bila wewe kujua
oppenheimer mi naona ni nzuri tu inaelezea story ya oppenheimer na project nzima ya los almos vizuri
Memento niliivutia bange nikaelewa story the prestige imejaa watoto wazuri sio powa1. The prestige
Wana magicians wawili wakiwa wanaharibiana kazi na pia kutafuta ni trick gani itakuwa nzuri zaadi kwa watazamaji
2. Dark knight, hii ni story ya kwenye comics za Dc, inahusu batman na the joker
3.Interstellar nahisi utakuwa ushaiona
4. Isonmia sijawahi kuiona ila ni nzuri
5. Inception,
Inahusu kundi la watu wenye ujuzi wa kuingia kwenye ndoto yako na kukupa wazo au kuchukua siri ulizoficha bila wewe kujua
oppenheimer mi naona ni nzuri tu inaelezea story ya oppenheimer na project nzima ya los almos vizuri
Tatizo mie napenda movies lkn chanzo changu ni Netflix tu. Kama movie haipo Netflix basi nishaikosa 🥲🔥🔥🔥🔥🔥
one of the BEST nakubaliana na wewe, mimi huwa siwezi rudia movie ila hii niliirudia na ajabu nikawa ‘thrilled’ again..!!
kwa ambaye hajaitazama asiikose..!
Ngoja niidownloadSingle Movie: THE PATIENT 2025
View attachment 3533753
Jamaa akiwa amelazwa hospital anashangaa anaitwa jina ambalo yeye anajua si lake lakini ndio inajulikana ndio jina lake hajakaa sawa anashangaa pia anaambiwa mke wako atakuja Leo kukuona wakati yeye anajua Hana mke na hajawahi kuoa ni noma Sana ukitaka kujua Nini kitajili usikose kucheki hii movie