Tatizo niki kaa kwenye Tv nasinzia 😁Ushakuwa muhenga 😃
Age went, anza kushinda BBC news tu
Utamu Hadi kisogoni kwa vyuma mnavyo tuma hapa 🌀🌀Episode zote 6 zimetoka
Bado kabisaCrime 101 ilitoka tujuzane
View attachment 3532708
Heist. Jamaa wameiba pesa za wastaafu.Category Gani?
Ngoja niidownloadHeist. Jamaa wameiba pesa za wastaafu.
Part 2 drama yake sio nzuri.. ila namba 1 na 2 are real 🔥Knives out 1
Knives out 3
Are the best.
Number 2 sikuipenda
Hizi movie/series zinazotoka mwaka huu.. mpaka tutachanganyikiwa!View attachment 3532742
Nzuri sana
Dah,
Mwamba alitisha Sana, alikuwa ana wauzia au ndio archive yake tu?Dah,
Umenikumbusha mwanangu mmoja mtoto wa Hong Kong huyo kajichanganya New York City.
Kwao Flushing hapo wanapocheza Tennis New York City ana collection la haya ma movie ya Hong Kong kama yote vile. Siku hizo za kabla ya movies kuwa accessible sana mitandaoni ukimtajia tu movie la Hong Kong unafikiri hakuna mtu analo, anakupatia.
Hii sijaiona nitaitafuta.
Thanks.
Ilikuwa archive yake tu anatuazima.Mwamba alitisha Sana, alikuwa ana wauzia au ndio archive yake tu?
Hii nzuri mno andy lau, chow yun fat, ina sequel kadhaa ambazo pia Stephen chow yumo kapiga kazi nzuri mno kwenye 2& 3.
Mwana alikuwa mnyamwezi, poa mwana.Ilikuwa archive yake tu anatuazima.
Nimeona hizo sequels, nitatafuta.
Memento nimeiona na kuielewa.Christopher Nolan ndio kazi zake hzo ana 1. Inception 2. Memento 3. Insonmia 3. Interstellar 4. Oppenheimer 5. Dark night 6. The prestige n.k jamaa anajua sana
1. The prestigeMemento nimeiona na kuielewa.
Naomba unipe summary ya hizi zilizobaki.
Any recommendation ipi ya kuanza nayo?
Naona Oppenheimer wengi wanaisema vibaya!
🔥🔥🔥🔥🔥Depal Dr. Mariposa Seran Vincenzo Jr Mr Q Carleen Angel Nylon Harmful Guacamole
FALL ( survival,thriller ) 2022
Marafiki wawili becky na hunter wadau wa hiking wanaamua kwenda kwenye moja ya mnara mrefu na wa zamani marekani kupanda ili kutoa mawazo ya kifo cha mume wa becky aliyekufa, wanafanikiwa kufika mpaka juu ya mnara huo ila wakiwa wanashuka bahati mbaya ngazi zinaharibika na kuanguka na kufanya mnara kuwa bila ngazi wanakwama huko juu hivyo wanahangaika kuomba msaada huku kukiwa hakuna mtandao, chakula na maji kidogo.
Kama unapenda movie za surival itafute uangalie ni nzuri mno