eti ile ndio history ya Europe enzi hizooo, karne ya 13hivi hii game of throne,...ndo ile kma wame act kma mambo ya kizamaniii hivi kings na quens..,...
mbonaq nmeona ya kawaida sana mkuu..
maana inavyosifiwa na nlivyoiona ni kawaida2....................ebu nieleweshe mkuu
series gani hii?????Prohibition in United States miaka ya 1920s, prohibition ni kipindi ambacho pombe ilikua ni haramu kuuzwa huko u.s, sasa ikawa bidhaa adimu na ikapanda bei mno, sasa ikaanza kuzaa wahalifu waliokua wanapiga hela kwa kuiuza, hii ishu ya prohibition ndio ilizaa notorious gangsters kama akina Al Capone, Lucky Luciano, Meyer Lansky, Anorld Rothstein n.k, hawa jamaa kama ulikua huwajui ndio mafia original kabisa, hebu wa Google ujue history zao utavutiwa nayo Aidi
napendelea zaidi drama kuliko action, vp nita enjoy?dzain.ila uhalisia ni mwingi CCTV Cameras zinadetect watu had mazungumzo yao yoyote yanakuwa recorded n kila kitu kipo controlled under CCTV camera...,.action kwa sana mkuu..ni drama kali sana........
ok...we um,eilewa na umeipenda mkuu????eti ile ndio history ya Europe enzi hizooo, karne ya 13
the boardwalk empireseries gani hii?????
au?>
mkuu nakupromis utaenjoy,....ukiielewa maudhui yake...napendelea zaidi drama kuliko action, vp nita enjoy?
ok,..imerelease lin??the boardwalk empire
mkuu nakupromis utaenjoy,....ukiielewa maudhui yake...napendelea zaidi drama kuliko action, vp nita enjoy?
tangia 2011 ila imeisha mwaka jana, season ya 5ok,..imerelease lin??
ok..ntaicheki....action sanaaaaaaaaatangia 2011 ila imeisha mwaka jana, season ya 5
nimeilewa na nimeipenda,ok...we um,eilewa na umeipenda mkuu????
ntaicheki inaonyesha ni nzur kwa kurelax nayo.......nimeilewa na nimeipenda,
kuna point inafikia inakua ni thrilling ile mbayantaicheki inaonyesha ni nzur kwa kurelax nayo.......
mkuu ntaicheki axee,...napendaga series za kusisimuA had ikiisha unahis kuna kitu unamis axeeekuna point inafikia inakua ni thrilling ile mbaya
saiz ipo s3.e2Jamani naulizia ivi vikings ya kina ragner imeendelea season 3??
mbna sasa inatoka season 4 !! mkuuJamani naulizia ivi vikings ya kina ragner imeendelea season 3??
hapo sasa watu wanasema atakuwa mzima swari atafufukaje hilo yaan wamelificha hawataki kulieleza dunia nzima mshawasha upo kwa jon snowhuyu si keshakufa??
pitia uzi huu mkuuWapenzi wa korean dramaz tuambiane mizigo mipya iliyo ingia(series).
we umeiona tu kwa matukiohivi hii game of throne,...ndo ile kma wame act kma mambo ya kizamaniii hivi kings na quens..,...
mbonaq nmeona ya kawaida sana mkuu..
maana inavyosifiwa na nlivyoiona ni kawaida2....................ebu nieleweshe mkuu
Sorry ipo 4 ep 2mbna sasa inatoka season 4 !! mkuu