Series (Special thread)

Japo nimeona infinix hot 60 pro+ bado nasema ni simu nzuri tu kwakuwa Mimi mwenyewe sipendi simu Kila baada y saa 5 za matumizi initake nichake Tena halafu niiite simu hiyo Kali.

Hapa iphone user mnakaribishwa kupiga vijembe
😁 kwani mnafanyiaga nini simu mpaka isimalize masaa 10 ikiwa na chaji?

Infinix enzi hizo hot 6,, utatuambia nini ndio tumeruhusiwa kutumia smartphone 😁😁
Sahivi washafika hot 60!! Siku zinaenda sana
 
Kazi kali, main actors wame kichafua mbaya.
Wako vzr, sema hawa ma-detective hmm! Yaani maaskari wako kama ma gangstar! Wana smoke wanavyotaka, na kulewa kazini jamn😂 hayo magari wanayotumia🙌🏾 Huyu ana kipini puani.. they look like a joke🤪 huyu Tayana Tylor sikuhizi naye detective kila movie😅 nilipenda alivyoigiza kwenye The trap na T.I character ilimkaa vzr lakini humu hapana, japo movie ni kali..
 
Kabisa 😀
 
😁 kwani mnafanyiaga nini simu mpaka isimalize masaa 10 ikiwa na chaji?

Infinix enzi hizo hot 6,, utatuambia nini ndio tumeruhusiwa kutumia smartphone 😁😁
Sahivi washafika hot 60!! Siku zinaenda sana
Data on muuda wote
Ukijizikia kuzama YouTube telegram TikTok sio mpaka uwashe Tena bando. Muda mwingi kioo Cha simu Kiko on sio kama wamama anaweza asitumie simu yake karibia masaa 2 mpaka 4 ukiangalia kumbe alikuwa anasukwa Rasta baadae akahamia kuangalia komborela hapo betri lazima like na chaji muda wote huo amezima data
 
Data wanazima age went, ila sisi age go tuko on 24/7,, na Tv ndio simu 😁
 
Sie tusosuka wala kuangalia Kombolela ndio simu hazikai chaji 🤣🤣🤣
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…