16 pro max π©Infinix gani
π€£π€£Unaweza heka heka lakini...
hahaha...
Sitaki za maneno utanishinda, nataka face to face, one on one...
Sina maneno ya kushindana,utanishinda...π€£π€£
Tuanze na maneno kwanza, tupate mshindi wake..
Si ndio na Lakini sasa msichelewe kuja kutuachanisha ππunataka mtu hata akuguse tu uanze nae π
Unataka kunizamisha baharini au πSina maneno ya kushindana,utanishinda...
Kama ni face to face,bring it on...
Ngoja kwanza nikasome kamusi, ndiyo nije nishindane kwa maneno...Unataka kunizamisha baharini au π
Wakishua ππNgoja kwanza nikasome kamusi, ndiyo nije nishindane kwa maneno...
Nitakubariki...
Usijali mi ntakuwa refa, ntakuwa nawaachanisha kwa kumshika mkono mpinzani ili upate advantage ya kurusha ngumi mbili tatu πSi ndio na Lakini sasa msichelewe kuja kutuachanisha ππ
Kuja kigamboni chapu πNaona una macho ya kuona hadi kesho. Pigia Mtume Paulo makofii
Nimechoka leo
Natafuta wa kumpunguzia uchovu
Nimemjaribu Smart911 kakaza
Mxiiiew ππ
Dah!! Futa kauli yako...Wakishua ππ
Nenda usikawie πΊ
Jua Kali hadi vichwa vinauma January mbaya sana hii chipsi yai tuna uziwa afu tatuKwa Yesu Kristo, maendeleo yako?
Kigamboni jua linawaka?
Kwani chips yai ni sh ngapi eneo la kawaida? Nmeizoea bei ya 3000. Kavu 2000β¦ nikikuta sehemu wanauza 2500 nashtuka πππJua Kali hadi vichwa vinauma January mbaya sana hii chipsi yai tuna uziwa afu tatu
Vina mahusiano gani na ushua wako πDah!! Futa kauli yako...
Mbona wewe una dimples...
Nikukute hapo NavyKuja kigamboni chapu π
π€£π€£ Safiii,, we unajuaa mambo yanavyoendagaUsijali mi ntakuwa refa, ntakuwa nawaachanisha kwa kumshika mkono mpinzani ili upate advantage ya kurusha ngumi mbili tatu π
Hahaha...Naona kamwili kanakuwasha...Vina mahusiano gani na ushua wako π
Wakishua unataka kunibadilishia mada!! We hangaika tu π€£π€£Hahaha...Naona kamwili kanakuwasha...
Dah!! πNaona unanitafutia lawama... Kweli mwili unakuwasha washa...Wakishua unataka kunibadilishia mada!! We hangaika tu π€£π€£