Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 20,992 Reaction score 46,704 Jan 9, 2026 #32,761 Franky Samuel said: Nimeona review watu wanaisifia ni kali Click to expand... Hiyo nimeichukua mida ya saa 6 hivi nitaicheki kesho
Franky Samuel said: Nimeona review watu wanaisifia ni kali Click to expand... Hiyo nimeichukua mida ya saa 6 hivi nitaicheki kesho
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 10,986 Reaction score 32,964 Jan 9, 2026 #32,762 Season 1 tu kaka Mr Q said: Umeangalia season 1 au hii aliyopost kwamba itatokea Feb? Click to expand...
Season 1 tu kaka Mr Q said: Umeangalia season 1 au hii aliyopost kwamba itatokea Feb? Click to expand...
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,240 Reaction score 79,795 Jan 10, 2026 #32,763 Seran said: Hii nimeichek ni nomaa! Click to expand... Bonge la kazi season 2 ipo njiani
dosho12 JF-Expert Member Joined May 6, 2023 Posts 3,725 Reaction score 9,931 Jan 10, 2026 #32,764 Vincenzo Jr said: Hawa walikutana wote ni roho miyeyushoView attachment 3527283 Click to expand... Couple ya mauaji
Vincenzo Jr said: Hawa walikutana wote ni roho miyeyushoView attachment 3527283 Click to expand... Couple ya mauaji
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,240 Reaction score 79,795 Jan 10, 2026 #32,765 dosho12 said: Couple ya mauaji Click to expand... Nachowapendea muda wote wana ile michezo huku uswazi tunaita kuchezeana nywele 😀😀
dosho12 said: Couple ya mauaji Click to expand... Nachowapendea muda wote wana ile michezo huku uswazi tunaita kuchezeana nywele 😀😀
dosho12 JF-Expert Member Joined May 6, 2023 Posts 3,725 Reaction score 9,931 Jan 10, 2026 #32,766 Vincenzo Jr said: Nachowapendea muda wote wana ile michezo huku uswazi tunaita kuchezeana nywele 😀😀 Click to expand... Jamaa kwa mauaji yote aliyofanya ila alikuwa anamuogopa mke wake maana anajua siku yoyote mkewe anaweza mchinja akiwa kalala 😁
Vincenzo Jr said: Nachowapendea muda wote wana ile michezo huku uswazi tunaita kuchezeana nywele 😀😀 Click to expand... Jamaa kwa mauaji yote aliyofanya ila alikuwa anamuogopa mke wake maana anajua siku yoyote mkewe anaweza mchinja akiwa kalala 😁
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,240 Reaction score 79,795 Jan 10, 2026 #32,767 dosho12 said: Jamaa kwa mauaji yote aliyofanya ila alikuwa anamuogopa mke wake maana anajua siku yoyote mkewe anaweza mchinja akiwa kalala 😁 Click to expand... Katika mademu wote huyu ndio mwan alijichanganya nusu akatwe kende pekenje pekenje sema Mimi nilimpenda sana yule bibie kwenye msimu wa 1 mtoto mzuri sana yule
dosho12 said: Jamaa kwa mauaji yote aliyofanya ila alikuwa anamuogopa mke wake maana anajua siku yoyote mkewe anaweza mchinja akiwa kalala 😁 Click to expand... Katika mademu wote huyu ndio mwan alijichanganya nusu akatwe kende pekenje pekenje sema Mimi nilimpenda sana yule bibie kwenye msimu wa 1 mtoto mzuri sana yule
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 20,992 Reaction score 46,704 Jan 10, 2026 #32,768 Vincenzo Jr said: Hawa walikutana wote ni roho miyeyushoView attachment 3527283 Click to expand... Kwenye kazi ipi
Vincenzo Jr said: Hawa walikutana wote ni roho miyeyushoView attachment 3527283 Click to expand... Kwenye kazi ipi
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,240 Reaction score 79,795 Jan 10, 2026 #32,769 Mr Q said: Kwenye kazi ipi Click to expand... You
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,240 Reaction score 79,795 Jan 10, 2026 #32,770 Ozark na brekng bad ndio series zenye wahuni wenye roho mbaya sana
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 20,992 Reaction score 46,704 Jan 10, 2026 #32,771 Vincenzo Jr said: Ozark na brekng bad ndio series zenye wahuni wenye roho mbaya sana Click to expand... Ozark ndio zaidi mtu alifukua mifupa ya mababu ili ajiokoe na mkono wa polisi
Vincenzo Jr said: Ozark na brekng bad ndio series zenye wahuni wenye roho mbaya sana Click to expand... Ozark ndio zaidi mtu alifukua mifupa ya mababu ili ajiokoe na mkono wa polisi
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 10,986 Reaction score 32,964 Jan 10, 2026 #32,772 Vincenzo Jr said: Bonge la kazi season 2 ipo njiani Click to expand... Ikitoka unitag kabisa🙌🏾
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 10,986 Reaction score 32,964 Jan 10, 2026 #32,773 Vincenzo Jr said: Ozark na brekng bad ndio series zenye wahuni wenye roho mbaya sana Click to expand... Mi breaking bad mpaka kesho🫡
Vincenzo Jr said: Ozark na brekng bad ndio series zenye wahuni wenye roho mbaya sana Click to expand... Mi breaking bad mpaka kesho🫡
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,240 Reaction score 79,795 Jan 10, 2026 #32,774 Seran said: Mi breaking bad mpaka kesho🫡 Click to expand... Bonge la series
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 10,986 Reaction score 32,964 Jan 10, 2026 #32,775 Vincenzo Jr said: Bonge la series Click to expand... Vipi kuhusu Animal kingdom?
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,240 Reaction score 79,795 Jan 10, 2026 #32,776 Seran said: Vipi kuhusu Animal kingdom? Click to expand... Ongezea na the sopranos series kalii sana hizo
Seran said: Vipi kuhusu Animal kingdom? Click to expand... Ongezea na the sopranos series kalii sana hizo
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 10,986 Reaction score 32,964 Jan 10, 2026 #32,777 Vincenzo Jr said: Ongezea na the sopranos series kalii sana hizo Click to expand... Nimeisikia hii ni yazamani pia? Ntaiangalia..
Vincenzo Jr said: Ongezea na the sopranos series kalii sana hizo Click to expand... Nimeisikia hii ni yazamani pia? Ntaiangalia..
dosho12 JF-Expert Member Joined May 6, 2023 Posts 3,725 Reaction score 9,931 Jan 10, 2026 #32,778 Seran said: Nimeisikia hii ni yazamani pia? Ntaiangalia.. Click to expand... Hivi seran huwa unangalia sana movie/series za aina gani ? Au na we ni kama Vin unangalia yyte ile
Seran said: Nimeisikia hii ni yazamani pia? Ntaiangalia.. Click to expand... Hivi seran huwa unangalia sana movie/series za aina gani ? Au na we ni kama Vin unangalia yyte ile
mwampi Senior Member Joined Jul 7, 2023 Posts 119 Reaction score 205 Jan 10, 2026 #32,779 Vincenzo Jr said: Ongezea na the sopranos series kalii sana hizo Click to expand... hii sopranos naiangalia saiv ni moto mwingine
Vincenzo Jr said: Ongezea na the sopranos series kalii sana hizo Click to expand... hii sopranos naiangalia saiv ni moto mwingine
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 20,992 Reaction score 46,704 Jan 10, 2026 #32,780 mwampi said: hii sopranos naiangalia saiv ni moto mwingine Click to expand... Sasa mmenishawishi niitafute
mwampi said: hii sopranos naiangalia saiv ni moto mwingine Click to expand... Sasa mmenishawishi niitafute