Series (Special thread)

Series (Special thread)

Knives out zipo ngapi nataka niishushe chap
Zipo hivi
Screenshot_20251217-110442.jpg
 
Jana nilikuwa nachukua file la gb 3 ile inakaribia kujaa tu ikafeli nililia sana hadi mwanangu akawa ananiuliza nalia nini
Non resumable file kwa mtandao wa voda ni hatari sana. Huwa wanatabia ya kushusha bars na netwok KUKATA bila Sababu. Wakirejesha unakuta file kinaanza upya huku wewe ulikuwa umesha fika asilimia 97 wajinga sana
 
Ni wapuuzi sana majamaa mwezi huu hawapati Tena pesa yangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom