Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,221
- 79,743
Aisee vitu vya peponi hivi mtoto ana rangi ya chocolate 😎
Aisee vitu vya peponi hivi mtoto ana rangi ya chocolate 😎
Bado kabichi kabisa hako, miaka 19 tu 😂Aisee vitu vya peponi hivi mtoto ana rangi ya chocolate 😎
Speed 🔥Ngoja nitambae na mzee sisuView attachment 3516725
Ndio wanakuwaga watamu sana HawaBado kabichi kabisa hako, miaka 19 tu 😂
Wamejitahidi japo na wao Kuna siku wanajigeuza konokonoSpeed 🔥
Leo wanaupiga mwingiWamejitahidi japo na wao Kuna siku wanajigeuza konokono
Apple TV wanaweza kutubariki hata mwakani si unajua hawana miyeyusho wale🔥🔥🔥🔥
nimemaliza mdogo wangu, tunangojea msimu wa pili sijui itakuwa mwaka gani walaqhi’..!
nipo Countdown episode ya 5, nayo ni moto, hawa wajinga watanitoa roho zamu hii..!🙌🏾
Inahusu Nini ankoKama hujaanza angalia hii show please do
Every Monday new episode
Ipo episode 4 and ni ya motoView attachment 3516944
FalloutDaah mwaka unaisha na kiukweli hamna series kaliii ya kumalizia mwaka
Zote hizo ni average showsFallout
Slow horses
Robinhood
Hii ni kweli kabisa atakuwepo au ni AINasubiri fast and furious kwa hamu, ili nione hizo scene za cr7.View attachment 3517410
Hiyo ni AI na kama hatakuwepo basi watapiga sana pesa zetu cinema 🎥 🍿Hii ni kweli kabisa atakuwepo au ni AI