Series (Special thread)

Series (Special thread)

Gomorrah,
NARCOS MEXICO,
SNOW FALL
Hz movie za maswala, zinafundisha namba ya uwekezaji, kuwa na ambition kubwa na mipango ya kuifikia,

Gomorrah - ni kwa jinsi Gani man anatofautishwa na matured man(kuwa na WA awake wengi inaonekana Bado hujakua na kuifikia hatua ya kupewa majukumu makubwa.

Narcos Mexico - ni kwa jinsi Gani brain ni core subject ya kufanikiwa ki maisha, lkn TUNAHITAJI kuwa na uwezo wa kujielezea, jinsi ya kushawishi watu kwa idea zako zilizoenda shule(kama Arteta).

Snow fall - jinsi Gani tubauwezo mkubwa wa kufanikisha mambo, ila kukiwa hmna pressure ya kuleta matokeo tuna relax na tunaweza tusifanikishe,
Pia pesa ni nzuri lkn inakuja kwa jinsi Gani? Pia inakuja na matatizo mengi, kwasbb pesa ikiingia sehemu inaenda ku unlock mitazamo na ujasiri ambao haukuwepo. Inaleta mitafaruku kwenye familia.
 
Ongezea na
Breaking bad
Ozark
 
Unajua jina la GOMORRAH linatisha? Watu hawazagamuani mitaloni humo?
 
Hahahaha hamna, ni series ya madawa, ya waitiano.
Anasa hazikosi ila za kawaida sana na ni chache tu, unaweza angalia sebuleni na dingi.

Gomorrah Ina maana Gani mkali?
Kibiblia ni ka mji kaloko haribiwa na Mungu kwa Sababu maasi yalizidi. Fikiria Kuna mtu wa Mungu alikuwepo kwenye miji hiyo na alitembelewa na wajumbe wa Mungu. Vijana wa mji huo wanataka wafukue mitaro hata pale rutu alipo taka kuwakabidhi Binti yao wao walikataa na kusisitiza wanataka wageni walikuja ili wawafukue
 
Duh! Kumbe mabalaa ya Sasa hamna kitu kabisa, yalishafanyika yote.
Kibiblia ni ka mji kaloko haribiwa na Mungu kwa Sababu maasi yalizidi. Fikiria Kuna mtu wa Mungu alikuwepo kwenye miji hiyo na alitembelewa na wajumbe wa Mungu. Vijana wa mji huo wanataka wafukue mitaro hata pale rutu alipo taka kuwakabidhi Binti yao wao walikataa na kusisitiza wanataka wageni walikuja ili wawafukue
 
Gomorrah,
NARCOS MEXICO,
SNOW FALL
Hz movie za maswala, zinafundisha namba ya uwekezaji, kuwa na ambition kubwa na mipango ya kuifikia,

Gomorrah - ni kwa jinsi Gani man anatofautishwa na matured man(kuwa na WA awake wengi inaonekana Bado hujakua na kuifikia hatua ya kupewa majukumu makubwa.

Narcos Mexico - ni kwa jinsi Gani brain ni core subject ya kufanikiwa ki maisha, lkn TUNAHITAJI kuwa na uwezo wa kujielezea, jinsi ya kushawishi watu kwa idea zako zilizoenda shule(kama Arteta).

Snow fall - jinsi Gani tubauwezo mkubwa wa kufanikisha mambo, ila kukiwa hmna pressure ya kuleta matokeo tuna relax na tunaweza tusifanikishe,
Pia pesa ni nzuri lkn inakuja kwa jinsi Gani? Pia inakuja na matatizo mengi, kwasbb pesa ikiingia sehemu inaenda ku unlock mitazamo na ujasiri ambao haukuwepo. Inaleta mitafaruku kwenye familia.
Hii Gomorrah language inayotumika ni English au Spanish
 
Kibiblia ni ka mji kaloko haribiwa na Mungu kwa Sababu maasi yalizidi. Fikiria Kuna mtu wa Mungu alikuwepo kwenye miji hiyo na alitembelewa na wajumbe wa Mungu. Vijana wa mji huo wanataka wafukue mitaro hata pale rutu alipo taka kuwakabidhi Binti yao wao walikataa na kusisitiza wanataka wageni walikuja ili wawafukue
Haka kamji watu walikuwa wanaenda sana buza
 
Kumbe jack chan ametoka movie na hamsemi
1765956891535.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom