Series (Special thread)

acha roho mbaya dosho, hutaki mwali apate mafunzo..!??
 
πŸ˜… taste ipi ulikuwa unataka ndugu yangu
mfano mzuri Christian alivyoelezewa, unamu imagine mkaka mmoja hivi matata sana, ukija kwa Anna sasa, weka imagination ya hayo matukio muhimu unaona kabisa weeeeeeh’ hii si ya kukosa kabla hujaaga dunia, kuja kuona movie I was kinda disappointed bhaaanaaa…!
 
second paragraph umenielewa vyema kabisa, hizo fifty shades of Grey ungeanza na novel zake, movie hata usingeimaliza niamini mimi, na malalamiko ni mengi mno mno ya hizo movies kwamba hazijaendana na kile watu walitarajia baada ya kusoma novels, na movies zimekuwa rated very poorly,

ila fifty shades, mama wa watu aliandika bhaaana..!πŸ™ŒπŸΎ
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…