Series (Special thread)

Mtoto mzuri sana huyu brother 😎

Kama yule mtoto aliyekuwepo kwenye avata ya Carleen

Niliwahi kumuona nikamuita carleeen kumbe ni Elizabeth πŸ˜ƒ

Bange ni miyeyusho sana πŸ˜€
😁😁😁😁😁
hukuwahi nisimulia hii kabisa..!
nilikuwa nanyoa those days, kuna rafiki yangu akaniambia nafanana naye ndiyo sababu ya kumuweka Elizabeth Mramba avatar,

sahii nimerudi kusuka naambiwa nafanana na Jennifer Kyaka β€˜Odama’, Watz wamenishinda..!
 
😁😁😁😁😁
hukuwahi nisimulia hii kabisa..!
nilikuwa nanyoa those days, kuna rafiki yangu akaniambia nafanana naye ndiyo sababu ya kumuweka Elizabeth Mramba avatar,
Ilikuwa Moshi pale Kilimanjaro International Airport midaa ya saa 2 za usiku nilikuwa nasubiria mwewe nirudi zangu daslamu mida ile kichwa kishapata moto πŸ”₯ huko nilipotoka nikamuona mtoto mzuri Elizabeth nae alikuwa anaenda dar mda ule si nikamtazamaa weee afu nikaropoka pale lile eneo nikaita carleeen πŸ˜€πŸ˜€ Kuna mwanangu akaniambia mwanangu ushadata πŸ˜€πŸ˜€ hadi naingia kwenye chuma ya Precision Air yule mtoto kama alinichanganya walahi dah!
 
Watz miyeyusho sana mwanangu πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
😹😹😹😹
ila Vinnie bhaana, kuna siku hujachanganywa na mtoto mkali kweli..!??
hivi in real life una mahusiano yaliyonyooka kweli..!?
 
halafu I was to forget, kipindi cha uchaguzi nilitazama β€˜9 bodies in a mexican morgue’, kwa aliyeshauri hii series hajaniangusha nampa heko..!πŸ”₯πŸ”₯
Vin apewe maua yake au atafutiwe mtoto mmoja mzuri 😁 ,mi niliangalia pamoja na paradise nayo ni nzuri pia
 
H
😹😹😹😹
ila Vinnie bhaana, kuna siku hujachanganywa na mtoto mkali kweli..!??
hivi in real life una mahusiano yaliyonyooka kweli..!?
Hapana kwakweli ila huyu wa sasa kanibadisha hadi dini lakini wapi bado naendelea kupenda watoto wakali 😎 yaani dah kutoka kuitwa Charles now naitwa Khalid
 
Vin apewe maua yake au atafutiwe mtoto mmoja mzuri 😁 ,mi niliangalia pamoja na paradise nayo ni nzuri pia
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
mtoto mmoja mkali atatosha kweli, maana huyu hata tukimpa 99 bado atamtamani huyo mmoja alobaki..!

Yes Paradise ilikuwa nzuri pia, nilitazama kwa kuisubiri episode moja moja kipindi inatoka March huko..!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…