Mkuu maudhui ya empire si ushoga. Na si kwamba wana promote ushoga bali maisha ya hivyo yapo, kitu cha kujifunza ni jinsi gani ukabiliane nayo. Na ndio maana unaona baba yake Jamal mwenyewe hilo swala lina mkwaza sana lkn muda alikuwa nao but hakuwa karibu na dogo since yupo mdogo, maza nae ndio hivyo dogo anakuwa maza yupo jela unadhani dogo na elementi alizokuwa nazo angeishia wapi kama sio kuwa punga wewe kama ni mzazi kunakitu cha kujifunza pale.Sasa mkuu huyo Dogo wa kwenye empire ambae anaimba na mambo kama hayo how do you say unafoward wakati star ktk hio movie kapewa role ya ushoga? Yaani kila akiimba au akifanya kitu ujue hafanyi yeye bali ni the gay doings. Now how do you cope with that???
Haya bhana kila la kheri mkuu....mm kwangu never.Mkuu maudhui ya empire si ushoga. Na si kwamba wana promote ushoga bali maisha ya hivyo yapo, kitu cha kujifunza ni jinsi gani ukabiliane nayo. Na ndio maana unaona baba yake Jamal mwenyewe hilo swala lina mkwaza sana lkn muda alikuwa nao but hakuwa karibu na dogo since yupo mdogo, maza nae ndio hivyo dogo anakuwa maza yupo jela unadhani dogo na elementi alizokuwa nazo angeishia wapi kama sio kuwa punga wewe kama ni mzazi kunakitu cha kujifunza pale.
Siungi mkono ushoga lkn l have to finish the story coz vipo ambavyo navifuatilia nijue nini kilihappen mwisho wake itakuwaje. Swala la ushoga wa Jamal sijaliweka akilini so sioni changamoto yoyote ktk hilo.
Haahaahaahaaaaa sasa mbona kwa shingo upande hivyo ndugu.Haya bhana kila la kheri mkuu....mm kwangu never.
Waingereza wanasema "lets agree to disagree"Haahaahaahaaaaa sasa mbona kwa shingo upande hivyo ndugu.
Haya brada acha, muda umeenda ngoja tu nyooshe mbavu tujiandae kuamka saa kumi siunajua mjini hapa na serikali yetu hii.Waingereza wanasema "lets agree to disagree"
Ulichosema ni sahihi na hapa ndipo linapokuja tatizo la uwasilishaji wa sanaa na tamaduni zetu kwa sababu, kinachoonekana kwenye Empire is nothing but truth sasa swali litabaki, je, kile kinachotendeka kwenye jamii ukioneshe au usikioneshe? Sasa ikiwa unaamini ushoga ni uovu, then is up to you msanii-- je, uoneshe hadharani uovu unaotendeka kwenye jamii na hatimae kuiamsha ile jamii iliyokuwa inadhani tupo salama au ufiche kama tamaduni za Kiafrika zilivyo na kuiacha jamii ikiteketea as if nothing happens!!Mkuu maudhui ya empire si ushoga. Na si kwamba wana promote ushoga bali maisha ya hivyo yapo, kitu cha kujifunza ni jinsi gani ukabiliane nayo. Na ndio maana unaona baba yake Jamal mwenyewe hilo swala lina mkwaza sana lkn muda alikuwa nao but hakuwa karibu na dogo since yupo mdogo, maza nae ndio hivyo dogo anakuwa maza yupo jela unadhani dogo na elementi alizokuwa nazo angeishia wapi kama sio kuwa punga wewe kama ni mzazi kunakitu cha kujifunza pale.
Siungi mkono ushoga lkn l have to finish the story coz vipo ambavyo navifuatilia nijue nini kilihappen mwisho wake itakuwaje. Swala la ushoga wa Jamal sijaliweka akilini so sioni changamoto yoyote ktk hilo.
Aisee, hiyo March naiona kama ipo mwakani. The Americans ndo real spy stuff na isingeweza kuishia pale manake kama utakumbuka, last scene Paige ndo tayari keshalikoroga... ame-blow cover ya wazazi wake kwa Mchungaji kwamba baba na mama ake aren't Americans but Russian Spies! My interest ni kuona ikiwa yule Mchungaji nae ni Mchungaji wa ukweli au nae ni Russian Spy!!!we have something in common .....The Americans is one of my favorite bila ya kusahau Homeland though niliipotezea baada ya Brody kufa .....naisubiri the americans hiyo 16 March kwa hamu kubwa coz nilidhani ndo imeishia pale
Bi Mwenda itabidi anisamehe kwa kweli manake yaani namuona yule wa kwenye tivii kama ndo wa kweli kweli flani hivi!Hahahaha maskini Bi. Mwenda wa watu hebu muhurumie.
Huyo sasa ndie anaijua sanaa na sio hao wanao igiza.Bi Mwenda itabidi anisamehe kwa kweli manake yaani namuona yule wa kwenye tivii kama ndo wa kweli kweli flani hivi!
Season ya ngapi hiyo? Coz mm nimechek season tano.The walking dead is back guys....am so happy
Ya 6 mkuu walitoa episode 8 wakachili then wamerudi ep 9..Season ya ngapi hiyo? Coz mm nimechek season tano.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Mkuuu ukija kuelewa dhumuni au long term goals zao ndio utajua kwann wengine tunakataa.... Hawa jamaa imefikia steji steringi wa movie anafanya mambo makubwa na ya ajabu ya kusisimua lakini ndio anakua bwabwa.
Hiiii wanapandikiza mentality kwamba hawa jamaa wana akili and they can do impossibles.
Now ukiisha watch mastar sita ambao ni mashoga unajikuta unazoea hio hali na unaona they are people like you. And till that point mtajikuta majority hamuoni tatizo someone to be gay.
Kila kitu kinaanza na kukitazama sana....the more you watch it you get to see it as a normal thing.
So yes tunatazama matendo na sio maudhui but all in all I do believe am in the right track.....do you???? Are you in the right track seeing your fellow man get banged????
I guess the answer is no.
Niliishusha hii description!Hiyo link inaitwa Complete history of got
Vip mkuu imeendelea au?person of interest
season5 haijatoka bado mkuu...we umecheki hadi ngapi mkuu???????????????Vip mkuu imeendelea au?