Series (Special thread)

Kwenye chief of war bidada alizani mmewe kafariki yeye akaenda kugawa utamu kwa masta mwingine imenisikitisha sana pale ama kweli wanaume tumeumbiwa mateso
 
Leo bhana pitapita zangu nimekutana na hii movie apa azam tvπŸ˜‚πŸ˜‚ uyu dada anaongea πŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½ anachamba hadi mama mkwe wakeπŸ˜‚ japo ni mcharuko jamaa kakuta mwanamke bado virgin.

Bongo movie ilikuwa zamani
 

Attachments

  • 1760362828645.jpg
    818.5 KB · Views: 11
Weka link mkuu nipite nayo hivi vitu shemeji yako huwa anavipenda sana
 
Mwanenu Leo nilivyokuwa napiga vitu vizuri kule baharini si nakacheki hii horror inaitwa Vicious aloo nilitaka kukimbia niache na PC yenyewe kumbe kushtuka imepanda kichwani πŸ˜ƒπŸ˜ƒView attachment 3488121
Naomba horror zitakazo chomoa moyo. Yani horror haswa. Design ya wrong turn hills have eyes na thrillers Yani nataka kustuka. Ukipata kama pia ziweke kwenye orodha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…