Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,854
- 82,007
Ni yenyewe mkuu sema kalii sana π₯ π πHyo ya pili ya ed gein itakuwa kama ya jeffrey Dahmer, maana jamaa anafahamika kwa muaji, marekani wanapenda kuwapa sifa wauwaji, wanawatengenezea na story kwamba tuwaonee huruma
Ngoja niweke kwenye list πNi yenyewe mkuu sema kalii sana π₯ π π
Nzuri sana hiki chumaThe last frontierπ₯π₯π₯
Ipo online clear? Leta link kkNzuri sana hiki chuma
Nimekumbuka Triple FrontierThe last frontierπ₯π₯π₯
Ndio kwanza Ina EP Mbili kaka series hiiIpo online clear? Leta link kk
Market Gani hiyoOnline panachekesha sana nimeagiza kitu cheupe napata chekundu aisee π π na madogo washakidondosha tayari
Amazon hao nilikuwa nataka ka home theater kadogo dogo hivi kaka kekundu badala ya keupe nilichokitakaMarket Gani hiyo
Lakini brand na specifications sicni zile ulizotaka? Tofauti ni rangi tuAmazon hao nilikuwa nataka ka home theater kadogo dogo hivi kaka kekundu badala ya keupe nilichokitaka
Wamefanya kusudi hao, kwa nini wasingeleta hta ya blue ila nyekundu sababu wanajua wewe ni mwananci πOnline panachekesha sana nimeagiza kitu cheupe napata chekundu aisee π π na madogo washakidondosha tayari
Ndio ni rangi tu brotherLakini brand na specifications sicni zile ulizotaka? Tofauti ni rangi tu
Wamezingua sana πππWamefanya kusudi hao, kwa nini wasingeleta hta ya blue ila nyekundu sababu wanajua wewe ni mwananci π
Hiki chuma tumesha wahi kukizungumzia humu. Nilishangaa jamaa mmoja anasema eti sio nzuri na actions zake eti zinamsababishia kizunguzunguMr Q kaicheki hii ya kikorea ila ina action nzuri mno, wameishuti kama Extraction. Vincenzo Jr Living Pablo View attachment 3486971