Series (Special thread)

Baada ya kutulia kama week2 sasa nimeanza hii series inaitwa Ozark nahisi story yake ni kama Breaking Bad au nipo OP? Vincenzo Jr dosho12 Mr Q series member

NB: icho kibwagizo๐Ÿ˜‚ baada ya miaka mingi kutokutishika na movie ndo nikaangukia apo
Series kalii sana ๐Ÿ”ฅ hiyo humo Kuna kale katoto kanaitwa Julia Garner mtoto mzuri sana yule
 
Ni series iliyonifanya nikalipia Netflix mara ya kwanza hiyo ni series Kali sana brother ๐Ÿ˜Ž
 
Wazungu bhana wanajua kukuandaa kisaikolojia ili uogope yale masoundtrack yao sio mchezo kabisa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ