Series (Special thread)

Nimependa hustlers zake, lakini pia imetuonesha jinsi ndugu wanavyopambania kuturudisha nyuma, kaka ake Chuck alikua too much
Saul na kaka yake walikua na conflict iliyokua ikinifurahisha sana 😂.. Chuck anamuona Saul km ni mtu mjanja mjanja tu na hakustahili kuwa mwanasheria, hata kupelekea kumbania mara kadhaa kwenye harakati zake.
Ila hiyo chuki ndio ilimfanya Jimmy kupambana mpaka kuwa Saul Goodman.
 
Kuna kamovie inatakiwa uitazame kabla haujafa kapo cinema now kametumia zaidi ya miaka 20 kuandikwa ndio imetoka mwaka
huu
 
Uko sawa mi nilijilazimisha baadae nikasema inatosha.
 
Baada ya kutulia kama week2 sasa nimeanza hii series inaitwa Ozark nahisi story yake ni kama Breaking Bad au nipo OP? Vincenzo Jr dosho12 Mr Q series member

NB: icho kibwagizo😂 baada ya miaka mingi kutokutishika na movie ndo nikaangukia apo
Watu wanajua kuanza series, kama unapenda za kutisha unakaa vizuri kuangalia ila kama huzipendi unatoka mapema , sio series nyingine mpaka ep 02 hujui nini kinaendelea inahusu nini,

Hyo Ozark sijawahi kuicheki ila nasikia ni nzuri, ngoja Vincenzo Jr aje au Dr. Mariposa au Carleen watakuwa washaiona
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…