Kaka mbele ya ( Terminal list;Dark Wolf ) utasahau Day of the jackalKwahiyo wakuu hii The Day of the Jackal inaendelea lini?
Ndio maana sipendi kuangalia series za kama ivi yaan inakata kwenye utamu kabisa
Apo kwenye Mobland tupo pamoja na nimesema juu apo Mobland ni kali kuliko the Jackal(kwa mtazamo wangu) ile The Day of the Jackal kama yule jamaa sniper angekufa pale mwisho movie yenu ningewaachia maana jamaa alinikosha sana..Kaka mbele ya ( Terminal list;Dark Wolf ) utasahau Day of the jackal
Naisubiri kwa hamu MOBLAND kuliko DAY OF THE JACKAL
"Tell your boss. I'm.. on.. fucking.. VA.CA.TI.ON."Nobody is somebody usiache kutizama hii movieView attachment 3463989
Huku meno ya.mekongoroka"Tell your boss. I'm.. on.. fucking.. VA.CA.TI.ON."
😂😂🔥🔥🙌
Bad guys 2 Kali sana inachekesha sana 😃Mission Impossible ✔️
Nobody 2 ✔️
Next- Bad Guys 2, F1
Kisha nitamaliza wiki na The Terminal List: Dark Wolf.
Hivi series kuwa labeled kama mini series inatakuwa na episode china ya ngapi
5 zikizidi sana mwisho 9Hivi series kuwa labeled kama mini series inatakuwa na episode china ya ngapi
Ila ambayo haiendelei tena au hata kama itakuwa na season 2 kuendelea5 zikizidi sana mwisho 9
Nipo episode ya Tano na jamaa wamesha m rescue mzee baba. Kwenye episode ya 2 the prime minister alitia speech nzito sana.
Huwa haziendeleiIla ambayo haiendelei tena au hata kama itakuwa na season 2 kuendelea
Bianca ndivyo alivyo mkuu nimemkuta kwenye movie ya james bond No time to die ya 2021 yaani baada ya jamaa ku retire huyo demu kawa 007 agent kaanza kumletea jamaa dharauYeah inauhalisia sana kwa upande wangu pia napenda sana movie za wahun kama vile Gangs of London
Kwenye Jackal bhana yule Bianca alinikera sana kujifanya shujaa na kauli zake za kibabe
Ndo ivyo kaenda na maji shwaaaa wamemla kichwaBianca ndivyo alivyo mkuu nimemkuta kwenye movie ya james bond No time to die ya 2021 yaani baada ya jamaa ku retire huyo demu kawa 007 agent kaanza kumletea jamaa dharau