Series (Special thread)

Mr Miguel mmexico/mcolombia iyo Mobland Tom Hardy sijamuona akicheka ni moja ya movie ambayo ni kali kali kali sana kwa huu mwaka daaah aloooo season kali hii!!!
Nilipenda sana pale alipomwambia Eddie kuhusu bint yake

Kama ukionyesha tabia njema mm Nina accept mahusiano yenu

na hapo akijua kabisa lile toto livuta unga lilevi limeeingiza familia kwenye majanga makubwa hawezi kuwa husband material ,dogo aksbaki kaduwaa Kwa hofu 😁
 
Yule dogo muhun sana anamsikiliza bibi yake gangster wa zaman
bibi yake akomswitch tu kajaa
 
Labda nahisi mahudhui ni Tofauti kidogo sema mobbland Iko na uhalisia Fulani hivi vile tunavyoushi
Yeah inauhalisia sana kwa upande wangu pia napenda sana movie za wahun kama vile Gangs of London

Kwenye Jackal bhana yule Bianca alinikera sana kujifanya shujaa na kauli zake za kibabe
 
We jamaa kweli unajua best horror movie Kuna 13 sins nayo Kali sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…