Series (Special thread)

Kuna ile acc ya "Dangerous Ai" kama ushaicheki jamaa anatengeneza interview za wachezaji na makocha wakiongea vitu vya kuchekesha ambavyo hawawezi kuviongea kwenye media, ukicheki video kama interview ya kweli kabisa, ipo kwenye IG, youtube na tik tok
 
Yap, hiyo nayo ime zungumziwa kwenye m.impossible.

Infact hata imesha anza kufanya kazi, mfano celebrity kadhaa video zime sambaa ziki onyesha waki fanya kitu fulani halafu kumbe siyo.
 
Mpaka kufikia September 2025 kwa mwaka huu na cledare series kali mpaka sasa ni TERMINAL LIST;THE DARK WOLF
Niliisubiri kwa hamu sana na wamenipatia kile nilichotarajia
Mpaka sasa nadhani ndio The best military series 2025
 
Yap, hiyo nayo ime zungumziwa kwenye m.impossible.

Infact hata imesha anza kufanya kazi, mfano celebrity kadhaa video zime sambaa ziki onyesha waki fanya kitu fulani halafu kumbe siyo.
hiyo ni ya kweli kabisa ukingia insta, youtube au tik tok ukisachi dangerous Ai utakuta video nyingi za interview za wachezaji ila maneno wanayoongea utacheka mwenyewe
 
Infact kuna interview musk ali fanya na joe Rogan, ali zungumzia why ai should be limited.
itafute iko pale joe Rogan podcast.

SIyo yeye tu, a couple of tech guys wame zungumzia hilo pia.
 
hiyo ni ya kweli kabisa ukingia insta, youtube au tik tok ukisachi dangerous Ai utakuta video nyingi za interview za wachezaji ila maneno wanayoongea utacheka mwenyewe
Hiyo ni sehemu ndogo ya balaa lenyewe, what if iki Anza kutumika kufanya propaganda ya baadhi ya mambo?.

Maybe mtu ai prompt isambaze chuki baina ya washika dini, nchi na nchi!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…