Series (Special thread)

Ndo maana mimi naachaga ziishe zote kufuatilia moja moja huo ulevi uliishaga kipindi cha GAME OF THRONES
Me bado ninao toka money heist inavyo anza nikaona kila siku kumuomba a download netflix nije niangalie badae mana password alikuwa hajui yeye mwenyew kapewa kaunganishwa tu.Nikasema sio kesi nikafungua account yang kbsa akili yangu ikatulia.

Imekuja FROM simu inazngua nikasema sipoi hat hvyo ikawa ikitok sirud magheton nikitok ni kwa brother nikacheki kwanza ndy nrud hata km imefika usiku sana.
 
nimeicheki ep moja inaonekana ni nzuri, ila ina mambo ya super hero, allergies za Mr Q πŸ˜…
Kuna horror nzuri tu kama final destination SAW na nyingine ni ya muda Kuna vijana walienda likizo sijui mnaita vakesheni kwenye mjengo mmoja uko porini wakafanyiana unyama dada mmoja akafanya revenge aliwaua sana.

Na Kuna nyingine
Texas chain saw
Hills have eyes
Drag me to hell


Baombeni top ten za horror zenye uhalisia Yani damudamu nyingi revenge watu wanakatana viungo za hivyo Yani na sio zile za kupata natanguliza shukrani
 
Kuna Scream zote, Wrong turn , Tarot na kuna moja nzuri sana inaitwa Truth or dare kama hujaicheki itafute
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…