Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,826
- 11,647
KWeli kabisa mtundumtundu sana yule GypsyAuntie polly anaonekana tu enzi zake alikua mtamu sana
Aisee tunatofautiana how we see things. Hiyo scene siyo Kali kwangu. Kaka ake na Arya did unforgivable mistake kupelekea anguko la the house Starks yule mchawi hana uongozi wowote wala startegis zaid ya uchawi. Mtu mjinga sana Rob. Mama ake amemlea kipuuzi puuzi na bado anamruhusu kwenda ktk house Frey na huku akimuacha mke alikuwa betrothed ktk nyumbani hiyo hiyo. Cercei being surrounded with kings and warrior hakuruhusu mwanaye yyte hata yule wa kike kuwa nje ya Westoros. Hapo scene nzuri ni ile mama mtu akiomba auliwe badala ya mwanaeScene yangu pendwa ni kipindi arya analipa kisasi kwa walder frey na wanajeshi wote waliohusika kwenye "the red weeding" na maneno aliyosema " if they ask you what happend here tell them The north remembers, tell them winter came for house frey"
PEAKY BLINDERS : THE IMMORTAL MANSana, kuna tetesi nilisikia wanataka kuendeleza ila inakuwa kwenye mfumo wa movie.
na kuachiwa mpaka liniPEAKY BLINDERS : THE IMMORTAL MAN
Movie wamemaliza kushoot 2024
Ila scot walimfanya kuwa lelemama mno wakati ndio true alfa, mule mi nlikuwa nawakubali peter na stiles walikuwa wanachangamsha series na maria ndo alikuwa anafanya nipende zaidi😁😁, Ila kwa ujumla series za ma vampire, witch na wolf huwa naikubali The originlasTeen wolf my fav series, nimeirudia hadi nimeirudia tena,
Nijaribu kusikiliza huo wimbo?
Sawa nitajie
Kwa Scott namtetea kapambana kwa uwezo wake kumbuka ni Alpha lakini ni Teen, sijawahi kuchoka vituko vya Stiles jamaa alipatia sana mule pia chemistry yake na Scott ilikua bomba, anko Peter nae namkubali alikua ana vituko vyake flan lakini ndio hivyo kila mtu hua ana anko wake flan kama sio mlevi basi mtata😂 Dereck namkubali mnooo jamaa ana spirit, amepambania pack kiufupi yeye ndie alikua anamchaji Scott japo walikua hawa appreciate mchango wake,Ila scot walimfanya kuwa lelemama mno wakati ndio true alfa, mule mi nlikuwa nawakubali peter na stiles walikuwa wanachangamsha series na maria ndo alikuwa anafanya nipende zaidi😁😁, Ila kwa ujumla series za ma vampire, witch na wolf huwa naikubali The originlas
Netflix hawajatoa tarehe badona kuachiwa mpaka lini
Hyo bado mkuu hata season 2 yakeKuna series moja kali sana ya inteligentsia inaitwa The Agency....wenye kufaham km season 3 imetoka wanijulishe tafadhali
Ingekuwa Kali wangeleta series na sio vipande vya moviesSana, kuna tetesi nilisikia wanataka kuendeleza ila inakuwa kwenye mfumo wa movie.
Nahisi itakuwa movie moja tuUngekuwa Kali wangeleta series na sio vipande vya movies
Yah season two namaanisha.....picha kali sana ileHyo bado mkuu hata season 2 yake
kumbe yule dada ni mkenyaYule black mkenya ana balaa sana ana weusi mtam japo sio mara ya kwanza kumuona nilianza kumuona kwenye THE LAST SHIP.
Kwenye terminal list aliongea kiswahili akasema elezea maana yake akitaja nchi ya kenya.kumbe yule dada ni mkenya
Ngoja nitafte movie yake nyngne nimsome vzur....ila mkuu kuna nyau bikra kweliKwenye terminal list aliongea kiswahili akasema elezea maana yake akitaja nchi ya kenya.
Sijui hata mimi kama yupoNgoja nitafte movie yake nyngne nimsome vzur....ila mkuu kuna nyau bikra kweli
Terminal list ni single au ni seriesSijui hata mimi kama yupo
series mkuu.Terminal list ni single au ni series
Asanteseries mkuu.