Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,009
- 95,520
Ada pisi kali kweli kweliFAmilia yao wote wanamaneno kwelikweli Ada anamajibu ya apo kwa apo
Hii series Kali sana yaaniBy Order of the peaky blinders
Sana, kuna tetesi nilisikia wanataka kuendeleza ila inakuwa kwenye mfumo wa movie.Hii series Kali sana yaani
Sizani kama itaendeleaSana, kuna tetesi nilisikia wanataka kuendeleza ila inakuwa kwenye mfumo wa movie.
Duh, ila waliwahi kuimaliza wangeacha hta season 7 au 8 angalauSizani kama itaendelea
Ila Kuna series mpya inataka kutoka director wa hiyo series alihusika kwenye peaky blinders pia nayo ni ya waingerezaSana, kuna tetesi nilisikia wanataka kuendeleza ila inakuwa kwenye mfumo wa movie.
Exactly 💯Duh, ila waliwahi kuimaliza wangeacha hta season 7 au 8 angalau
How soon, isije kuwa mwakani mwezi wa nane huko 😅Ila Kuna series mpya inataka kutoka director wa hiyo series alihusika kwenye peaky blinders pia nayo ni ya waingereza
Bado mkuuKuna series moja kali sana ya inteligentsia inaitwa The Agency....wenye kufaham km season 3 imetoka wanijulishe tafadhali
Scene yangu pendwa ni kipindi arya analipa kisasi kwa walder frey na wanajeshi wote waliohusika kwenye "the red weeding" na maneno aliyosema " if they ask you what happend here tell them The north remembers, tell them winter came for house frey""Dracarys" as pronounced by Missandei at her own death telling the mother of dragons to burn everything including her(Missandei) to serve the purpose of fighting . This scene in GOT and what followed after that still brings mixed feelings about how can a writer build character based on trust, obedience, friendship, sacrifice and a goodwill.
I have not evolved from this scene.
Nothing beats GOT, just not yet.
Teen wolf my fav series, nimeirudia hadi nimeirudia tena,Kaangalie teen wolf Sasa, beside nasikiliza nyimbo fulani hivi.
Vipi niku Tajie ujaribu?
Walimchinja The king of the north mapema sana.Scene yangu pendwa ni kipindi arya analipa kisasi kwa walder frey na wanajeshi wote waliohusika kwenye "the red weeding" na maneno aliyosema " if they ask you what happend here tell them The north remembers, tell them winter came for house frey"
Yule black mkenya ana balaa sana ana weusi mtam japo sio mara ya kwanza kumuona nilianza kumuona kwenye THE LAST SHIP.Kuna series moja kali sana ya inteligentsia inaitwa The Agency....wenye kufaham km season 3 imetoka wanijulishe tafadhali
Auntie polly anaonekana tu enzi zake alikua mtamu sanaNmeimaliza Peaky Blinders nmempenda sana uyu mwanamama Polly Gray kwanza tabasam lake matata sana pili ni gangster hadi ganster tena tatu anapigo fulani za kimalaya(sio malaya) yaani yupo sooo sexy anaonyesha utundutundu kama binti wa kimakonde😊😊 kuna kipande alikuwa anawasha moto porini mdada kakaa kimitindo hadi raha😄😅
All in All mwanamke uyu alikuwa na magic smile😊
So sad kafariki R.I.P
View attachment 3450661View attachment 3450654View attachment 3450656
Haina action kama inavyo tegemewa ila kuna maafa yanakuja huko mbele mana kuna li kanjibai pale lisharuhusu njia.Wadau hii Allien Earth ni nzuri??
Nimeangalia ep moja mwanzo mwanzo tu naona mawenge niendelee au niipotezee?
MwanasiasaAda pisi kali kweli kweli
Inanoga sana akiisema Arthur na msauti wake uleBy Order of the peaky blinders