Series (Special thread)

Sema ratings huwa naonaga zipo ovyo kwenye single movie ila kwa series naona huwa zinaendana kidogo na uhalisia, yani rating kama ina kaukweli flani hivi

6.9 kwangu ninaconsider kama rating kubwa especially ukizingatia kipindi hiki kila mtu mjuaji, movie inaweza kuwa kali ila mtu anaipa rating ya 5 eti kisa tu main character hajapiga kiss na demu mkali kwenye movie hiyo, au haijaisha kama yeye alivyotaka iishe, au mara wanalalamika labda movie haijafanana na game lake. Yani sababu za kipuuzi tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…