Series (Special thread)

Series (Special thread)

Hata mimi ndio starehe ya pili ikitoka kulala. Ila naona uzee sasa, zamani nilikuwa naweza hata kukesha natazama movie. Ila sasa hata kumaliza episode moja ni mtihani. Single movie namaliza baada ya siku tatu🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
Sio lazima uangalie episode 1 yote, anza na dk chache tu mwisho uta zoea.

SIku 3 tu?, kuna wiki nili angalia episode 1 wiki nzima kudadadeki.
 
😂😂😂
tena na-enjoy na nacheka balaa, kitu kizuri kuhusu cartoon ni ile fantasy mzee mwenzangu, kuna vitu haviwezekani kwenye maisha ya kawaida ila kwenye cartoon yote yanawezekana hivyo kuna raha yake asikuambie mtu..

na kuna animation nyingi tu zina story line nzuri mno..!
Kuna animation kalii sana hizi hapa mwanangu ushawahi kuziona?
Ratatouille
Lilo & stitch
Up
Finding Nemo & finding Dori
Wall e
Sing
Megamind


Hiyo finding Nemo na wall e zinasikitisha sana😰🥺😭
 
WaKuu, hii sio season 2. Hii ni kama walivyofanya House of Dragons na Game of Thrones
 

Attachments

  • IMG_8333.jpeg
    IMG_8333.jpeg
    76.2 KB · Views: 12

Similar Discussions

Back
Top Bottom