Series (Special thread)

Series (Special thread)

Mimi naangalia asubui, mchana, usiku, kiufupi ndio passio yangu.
Hata mimi ndio starehe ya pili ikitoka kulala. Ila naona uzee sasa, zamani nilikuwa naweza hata kukesha natazama movie. Ila sasa hata kumaliza episode moja ni mtihani. Single movie namaliza baada ya siku tatu🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Mzee mwenzangu unaangalia katuni🤣
😂😂😂
tena na-enjoy na nacheka balaa, kitu kizuri kuhusu cartoon ni ile fantasy mzee mwenzangu, kuna vitu haviwezekani kwenye maisha ya kawaida ila kwenye cartoon yote yanawezekana hivyo kuna raha yake asikuambie mtu..

na kuna animation nyingi tu zina story line nzuri mno..!
 
Mie tom and jery na alvin and chipumunks ndo naangaliaga nikiwa bored.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom