View attachment 3415028
Leo nmemaliza japo sijajua walishinda kushawishi hii show iende viral mana ni Kali sana ni ndugu na
from hii.
View attachment 3415030
Anaitwa Tobby Jones man of the match kwenye
WAYWARD PINES kanipa uhakika kidgo anaweza kumrithi
SIR ANTOHNY HOPKINS 👇
View attachment 3415033
The way wanavyo ongea na kubeba their role Yani series inakuwa tam sana Japo sir Hopkins anazeeka sasa ila yupo vzur Bado kadri uzee unavyo kuja ndivyo wanavyo kuwa wakali zaidi.