Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,402
- 12,010
Simu miyeyusho, si enjoyKama ni kwa simu chukua hiziView attachment 3397742
Simu miyeyusho, si enjoyKama ni kwa simu chukua hiziView attachment 3397742
Sijui kwanini siyo mfatiliaji sana wa movies kutoka bara ulaya/america.What a classic movie, naweza irudia hata mara 10 kwa wiki na nisi ichoke kabisa.
I like the plot, technology and the business staff.
Selikavu, dosho12, Razorblade, Edo kissy
View attachment 3399840
Anza na hiyo, kisha malizia real steel ni 🔥 🔥Sijui kwanini siyo mfatiliaji sana wa movies kutoka bara ulaya/america.
Hii ngoma kali ila I'm not sure if it worth watching twice or moreWhat a classic movie, naweza irudia hata mara 10 kwa wiki na nisi ichoke kabisa.
I like the plot, technology and the business staff.
Selikavu, dosho12, Razorblade, Edo kissy
View attachment 3399840
toka wiki hii ianze, nime jikuta naacha series ninayo angalia ili nirudie hii movie.Hii ngoma kali ila I'm not sure if it worth watching twice or more
Oya hii nimeitazama kitambo tena nilikuwa na CD yake kabisa, nilipenda sana kipande cha dogo anavyoingia na robot lake ulingoni 😂Anza na hiyo, kisha malizia real steel ni 🔥 🔥
View attachment 3399850
Download mzee, miki ninazo zote za genre hiyo 😂😂Oya hii nimeitazama kitambo tena nilikuwa na CD yake kabisa, nilipenda sana kipande cha dogo anavyoingia na robot lake ulingoni 😂

😅😅 Ila Saul Goodman ana deal na kila kitu ni pesa yako tuLugha gonganaView attachment 3400043
Kwenye kumbukumbu zangu, Transfomers ya 2007 ndo nilianza nayo 😂Download mzee, miki ninazo zote za genre hiyo 😂😂
Machimbo ya Movie na Series kitonga yanazidi kupotea baada ya NetNaija sasa ni Awafim nao wamefikiwa haipo hewani aisee
Site yangu pendwa ilikuwa Netnaija baada ya kufungiwa nikahamia Nkiri na Maxmoviez.![]()
Nkiri: Latest Nkiri Movies and TV Series | Nkiri
Nkiri Movies.com, Nkiri International, Nkiri Movie Site, Nkiri Yoruba Movies, Nkiri Action, Nkiri.com, Nkiri Korean Movies, Nkiri Action Movies,www.nkiri.ng
Zipo nyingi mno hizi sites za kuhost MKV movies za MB chache, wakizima hizi nambie nikupeSite yangu pendwa ilikuwa Netnaija baada ya kufungiwa nikahamia Nkiri na Maxmoviez.
Wakifungia hizi sijui nitahamia wapi.
Hapo ni kuhamia today tv series tu na uTorrentMachimbo ya Movie na Series kitonga yanazidi kupotea baada ya NetNaija sasa ni Awafim nao wamefikiwa haipo hewani aisee
PamojaZipo nyingi mno hizi sites za kuhost MKV movies za MB chache, wakizima hizi nambie nikupe
😃😃Lugha gonganaView attachment 3400043
Weka hizo sites za bei za jioni the likes of Nkiri.Zipo nyingi mno hizi sites za kuhost MKV movies za MB chache, wakizima hizi nambie nikupe
https://pahe.inkSite yangu pendwa ilikuwa Netnaija baada ya kufungiwa nikahamia Nkiri na Maxmoviez.
Wakifungia hizi sijui nitahamia wapi.