Umeniulizq mwaka huu ama ?..generally movie zangu ni hizi
1.Extraction zote
2.movies za has fallen za Gerald buttler
3.Lone survivor
4.Jason bourne zote
5.Tears of the sun
SERIES KALI
1.GOT ipo rank moja na PRISON BREAK
2.SEAL TEAM Naipa rank moja na VIKINGS
3.TERMINAL LIST naipa rank moja na POWER
4.TREADSTONE
6.BLACKLIST
7.JACK RYAN SERIES
8.SPECIAL OPS
9.HOMELAND naipa rank na 24 hours
10.MOBLAND na DAY 0F THE JACKAL
Kuna same shit inaitwa Ballerina (2023) ni ya kadada nayo ila ya Korea Kusini ni shida nayo kanachapa..Hapa bado Ballerina, ngoja niicheki leo
hivi ukitaka kudownload huku hollymovie inabid ujisajir auHii hapa mkuu
Barry Season 1 - HollyMovieHD
A hit man from the Midwest moves to Los Angeles and gets caught up in the city’s theatre arts scene.hollymoviehd.cc
Barry Season 2 - HollyMovieHD
A hit man from the Midwest moves to Los Angeles and gets caught up in the city’s theatre arts scene.hollymoviehd.cc
Hapana mkuuhivi ukitaka kudownload huku hollymovie inabid ujisajir au
Warusi wana balaa sana mkuu kipindi cha vita ya baridi mmarekani aliteseka mno 😀yule jamaa ilibidi awaache waondoke tu maana walimuweka karibu sana kama ndugu alafu kumbe wahuni wanachukua information kwa ajili ya taifa lao
Sijui kwa nini ila hiyo ya Kikorea sikuipenda 😁Kuna same shit inaitwa Ballerina (2023) ni ya kadada nayo ila ya Korea Kusini ni shida nayo kanachapa..
Head of state ya kawaida sio kali sanaaaMbona kwa kuangalia list yako inaonesha muvi ya Head of State ilitakiwa uipende pia
Au ladha ya movie kwako imeanza kupungua 😅😅
sio kwamba sjaikubali ......Kuna mtu hapo juu amesema hajaikubali
HahhahahaWe eagle apo kwenye Homeland toa weka The Americans
Sawa mzee 🙌Head of state ya kawaida sio kali sanaaa
KGB wazee wa kazi chafuWarusi wana balaa sana mkuu kipindi cha vita ya baridi mmarekani aliteseka mno
Banshee aisee umenikumbusha mbali Sana hasa bwana sugar...6. The Equalizer zote
7. 13 Hours In Benghazi
8. Guy Ritchie's The Covenant
Series ongezea na hizi
* Banshee
* Nikita
* The 100
* Strike Back
Daaah huyu Manzi yumo humu?
nikibonyeza download inanileta uk afu hakuna kinachoendelea zaid ya apaHapana mkuu
Mno yaani wako vizuri sanaKGB wazee wa kazi chafu
Gusa hapo chini palipo andikwa maneno ya blue baada ya kusubiria sekunde kadhaa mzigo utajidownload hamna kujisasijili ni kuwa makini tunikibonyeza download inanileta uk afu hakuna kinachoendelea zaid ya apaView attachment 3395356
Au tumia uTorrent mkuunikibonyeza download inanileta uk afu hakuna kinachoendelea zaid ya apaView attachment 3395356
Nilisha shindwa kuifuta hii series kwenye external yangu aisee 😃Banshee aisee umenikumbusha mbali Sana hasa bwana sugar...
kuna hatihati season 4 ikachezewa marekani watu watapewa na nauli kwenda kucheza michezo ya kifoThe American spinoff of ‘SQUID GAME’ will reportedly begin production this fall
‘SQUID GAME AMERICA’ is the working title but David Fincher wants to call it something else
(via: @DanielRPK)
Nadhani KGB ndio shirika la ujasusi hatari duniani...KGB wazee wa kazi chafu