Series (Special thread)

Jinsi Wamarekani wengi walivyo hawajui chochote kuhusu nchi nyingine tofauti na Marekani hili swali likija watakufa wengi sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ukiangalia hata YouTube videos za Wamarekani wanavyoulizwa wataje nchi tatu za Africa mtu anataja hadi IndiaπŸ˜‚πŸ˜‚ Kuna mwingine anataja Zamunda, mara sijui Wakanda yani Geography ni zero hawa watu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Imebidi niangalizie tu kwenye simu nimedownload pirates bay movie haioneshi inatoa sauti tu nikadownload tena picha naona sauti holla nyingine inagonga kihindi halafu subtittle ni kiarabuπŸ˜€
 

Attachments

  • 265A7642-DDDD-4146-B789-56996BF8841D.png
    151.5 KB · Views: 13

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…