Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,090
- 95,748
kaka ka ni hivyo ninge lipia ya nini π πNetflix mbali shushen hapa
Kiherehere chako kakaπ€£π€£π€£ hiyo hela bora tungempa Razorblade alee watotokaka ka ni hivyo ninge lipia ya nini π π
Kaka Kuna show wali kuwa Wana irudia, ndio nika sema acha niwa changieπ€£π€£.Kiherehere chako kakaπ€£π€£π€£ hiyo hela bora tungempa Razorblade alee watoto
Imejaa ushoga tuUmeniwahi nilitaka kupost sasahivi
Hapo quality ni mbovuNetflix mbali shushen hapa
ππππNi muhuni sanaπ€£π€£π€£π€£Huyu mama aliwaingiza wafuasi wake chaka hafu akakimbia, ile scene niliirudia karibu mara nne.Alinichekesha alivyoingia kwenye kile chumba akatoka hana wasiwasi akabana mlango hafu ghafla akatimua mbio akawaachia wafuasi msala...dah! Miyeyusho sana.
Itakuwa hatari sana πVipi John Wick akitumwa kumuua the jackal unahisi atafanikisha ππ
Vincenzo Jr Mr Q Carleen Dr. Mariposa View attachment 3391787
Mwamba sana huyoPia yupo kwenye movie ya The Theory of Everything ameigiza kama Stephen Hawking ambapo alipata tuzo ya oscar
Sijaiona hata ndo nilitaka niangalie kesho kumbe ni upinde tu humo ndani.Imejaa ushoga tu
Umejaribu kuangalia mkuu??Hapo quality ni mbovu
Ndio naona sio 1080pUmejaribu kuangalia mkuu??
πππ Ngoja nikupe trailer utaowaona haoSijaiona hata ndo nilitaka niangalie kesho kumbe ni upinde tu humo ndani.
Nishaghairi kuiangalia
Mbona Awafim quality yake ni nzuriHapo quality ni mbovu
Dah nimewaona. Sema Netflix ushoga ndo vitu vyao hivyoπππ Ngoja nikupe trailer utaowaona hao
View: https://youtu.be/lyivgZ074PY?si=hd4ZBJq0ymxMYcus
Unafahamika machimbo yako kaka nashangaa saiv umelipia tenaπ€£π€£Kaka Kuna show wali kuwa Wana irudia, ndio nika sema acha niwa changieπ€£π€£.
tofauti na hapo nabaki youku, iqiyi, viki, kiss asian
Aah wewe si una Wifi ππsisi wa mabundle Quality nzuri sana hiyo HD naangalia kwenye Screen kabisaNdio naona sio 1080p
maisha tu kaka π€£ππ€£, iki isha sirudiUnafahamika machimbo yako kaka nashangaa saiv umelipia tenaπ€£π€£
Nipo hapa utalipia tuuπ€£π€£π€£maisha tu kaka π€£ππ€£, iki isha sirudi
Labda niende Pyongyang π πNipo hapa utalipia tuuπ€£π€£π€£
Pyongyang ukienda ni ndoa mzee comred ashasemaLabda niende Pyongyang π π