Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 8,407
- 28,836
kwenye haya maisha mafupi, ukipata nafasi ya ku enjoy, enjoy to the fullest, ukipata nafasi ya kupenda, penda na yako yote, hakuna kitu nachukia kama majuto, neno gumu huwa ni 'laiti ningejua'...!Nilikuwa naenjoy mwanangu 😎