Series (Special thread)

Series (Special thread)

1750504771171.jpg

Leo imetimia miaka 6 Toka kifo Cha MIKKEL NEILSON
Niliipenda jina la MIKKEL nilitamani nimwite mwanangu wa kiume huko nikijaaliwa uzao.

Nmeangalia series nyingi sijawahi kuzirudia hata mara 1 ila DARK itabaki kuwa the top ambayo unatakiwa utulie ili upate Radha ya movie.
 
View attachment 3377720

The best part ni ile barua aliyo andika MIKKEL NEILSO
Alisema mengi Kwa ufupi.
 
Attachments

  • Dark_S1E5-Jonas_reads_Michael_letter(720p).mp4
    10.1 MB
Rates za hii series “KABUL” zikoje? Kabla sijapoteza MBs zangu, maana nilitembea na hype ya “Mercy for None” nikaja ona hata sio mambo yangu ya kawaida sana na uongo mwingi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom