Mwambie atumie teknik nnazotumia mimi, nikifika sehemu ya kusikitisha sana na pause, najinyoosha, nakunywa maji kidogo kisha naendelea, hizo mbinu zipo very effective. Naziita Dosho's strategy ππLeo kaka angu kanipigia simu akaniuliza kama nishaiona nikamwambia bado, akasema ameishia kati hawezi tena kuendelea mtu mzima kutoa chozi aibuuuuuu π€£π€£
Fatilia page za nyuma Kuna Moja hivi niliwekaMe on Google after watching STRAW ππView attachment 3367253
Kwenye straw kwa mara ya kwanza nimemkubali tyler perry, zile nyingine sijui sistas, the oval, zatima sijawahi kuzikubali kabisaFatilia page za nyuma Kuna Moja hivi niliweka
Yule jamaa miyeyusho sana ashukuru sana pendo amembeba mno kwenye hii movie yake mpya la sivyo ingebuma hiiKwenye straw kwa mara ya kwanza nimemkubali tyler perry, zile nyingine sijui sistas, the oval, zatima sijawahi kuzikubali kabisa
KabisaYule jamaa miyeyusho sana ashukuru sana pendo amembeba mno kwenye hii movie yake mpya la sivyo ingebuma hii
Mda wa kuenjoy huo mwanangu π π jana nilirudia horror Moja hivi inaitwa ash
Oya hajafariki huyo masta yupo kwenye msimu wa 3 EP ya mwisho
Bora arudi, ndo naianza apa season3 ngoja niifakamie weekend nifunge huu ukurasaπͺπ½Kazaliwa tena oyaah ni balaa
Sisi wengine tunangoja mwakani huu mwaka wametukatiliBora arudi, ndo naianza apa season3 ngoja niifakamie weekend nifunge huu ukurasaπͺπ½
Kwenye hii movie Taraj kaliza watu wengi πͺπͺπͺLeo kaka angu kanipigia simu akaniuliza kama nishaiona nikamwambia bado, akasema ameishia kati hawezi tena kuendelea mtu mzima kutoa chozi aibuuuuuu π€£π€£
Daah kumbe mzigo hauishii ya 3 acha nile mtoli nyama nitakutana nazo uko chiniSisi wengine tunangoja mwakani huu mwaka wametukatili
Hii movie binafsi imenishinda siwezi endelea kuangaliaKwenye hii movie Taraj kaliza watu wengi πͺπͺπͺ
Pole jirani π yaan nikisikia hivyo ndio sitaki kabisaa kuiangalia, niliwahi kuziona hizi movies,Hata Mimi nililia jirani yangu πππ
Na anavyojua kuuvaa uhusika sasa, ulishaiona Acrimony? ni moja kati ya movies hua nazirudia sana na sijawahi kuichokaKwenye hii movie Taraj kaliza watu wengi πͺπͺπͺ
Nitamwambia nadhani na mimi nitaitumia hiyo Dosho's strategy kuiangalia StrawMwambie atumie teknik nnazotumia mimi, nikifika sehemu ya kusikitisha sana na pause, najinyoosha, nakunywa maji kidogo kisha naendelea, hizo mbinu zipo very effective. Naziita Dosho's strategy ππ
Pole jirani yangu mie Kuna hizi huwa nalia sana yaani sanaPole jirani π yaan nikisikia hivyo ndio sitaki kabisaa kuiangalia, niliwahi kuziona hizi movies,
Lion,
Slumdog Millionea,
Jungle,
Miracle in cell No 7 (Turkish version)
Zilinikaa sana kichwani nikawa na huzuni muda wote
Kuna Kijini kinaitwa kimono woman aisee kina balaa sana humo ndio kilimfufua kwa kumpatia mimba Fatima mimba ya mchongo ndio mwanetu smile akazaliwaBora arudi, ndo naianza apa season3 ngoja niifakamie weekend nifunge huu ukurasaπͺπ½
Nimetazama Leo asubuhi Malaika, kwanza nilianza kulengwa lengwa machozi mapema kabisa maana mlishaniandaa kisaikolojia, nikasema nuh' I won't break easily nikakaza,
Ni vyema umekuwa muwazi, mtu yoyote atayekwambia alilengwa na machozi tu huyo anadanganya kila mtu aliye angalia hii movie alilia,π isipokuwa mimi tu, mimi machozi yalinilenga lenga tu sikulia ππNimetazama Leo asubuhi Malaika, kwanza nilianza kulengwa lengwa machozi mapema kabisa maana mlishaniandaa kisaikolojia, nikasema nuh' I won't break easily nikakaza,
muda anazungumza na Teyana kama negotiator nilishindwa aiseeeh' nililia balaa, na nikaja kulia tena baada ya kugundua kuwa Aria mwenyewe alishaaga dunia, kumbe all those times she was just imagining things, mapambano yote yalikuwa ni bure..!
Ahsanteni sana mmefanikiwa, nilitaka kukaza kisha nije hapa kuwa prove wrong ila kiukweli nilishindwa..π