We jamaa ulimuita wapiMwanae ni Lily rose Depp aliwahi kunichunia nililimuita lily akani ignore aisee π
Mwezi uliopita Bole Addis Ababa International AirportWe jamaa ulimuita wapi
Hii kitu ni mpya kabisa, fresh from the package au ya kitambo ?
Ni mpyaHii kitu ni mpya kabisa, fresh from the package au ya kitambo ?
Ubaya ni kwamba kila mahusiano ni lazima yapitie hiyo phaseHiyo a Journal to Jordan niliipenda sana love story yao kabla hawajaanza mambo ya kulia lia, yaani kuna time hua naitamani ile feeling ya kufall inlove na mtu (mpya) sijui mnaielewa ukiona simu yake unatengeneza koo vizuri unajilaza kwa bed unaongea kwa mapozi, unaweza ukaongea na simu usiku mzima na usione shida, ukikaa sehem unaisikia harufu ya manukato yake, hata ukiwa busy vipi lazima across on your mind then you smile alone, kuna wakati unapitia convos zenu zooooote mwanzo mwisho unacheka peke yako, lol mambo ni mengi ila hua siipendi ile part ya kuanza kuargue na kununiana, aargh!
Hawa mabinti mbona Wana sura za visasi kiasi hichoπ€
Dah hawa jamaa wanaichelewesha sana Wednesday Season 2The wait has been torture.... and itβs not over yet!
Wednesday 2 - Part 1 premieres August 6
Credit by Netflix View attachment 3365187
Bado Mkuu. Ngoja niishushe hii. Saizi nimeishiwa kabisa Anime.Selikavu Mwananchi B mshamba_hachekwi
Mmeicheki hii. Ni Anime ya USA ila ni singo
Mortal Kombat Lengend: Snow Blind ya 2022View attachment 3366536
Sijaiona mkuu ngoja niishushe nilikuwa sina anime ya kuchek week hiiSelikavu Mwananchi B mshamba_hachekwi
Mmeicheki hii. Ni Anime ya USA ila ni singo
Mortal Kombat Lengend: Snow Blind ya 2022View attachment 3366536
πππView attachment 3365189View attachment 3365190View attachment 3365191
Best combo movie Moja series mbili
Zitafuteni Cc Angel Nylon Carleen if cap fits dosho12 Mr Q
Hii clown π€‘ itakufaa sana mwnangu Carleen πππ icheki mida ya usiku mkali π
Hakutakii mema ππ japo mimi napenda sana horror movie ila siwezi kuangalia sa nane usiku π ππππ
sikujua mwanangu wewe ni kati ya watu wanaojali furaha yangu kiasi hiki, usiku wa manane kabisa..??
Nimeona Scorpion's revenge tu, itabidi nizifuatilieSelikavu Mwananchi B mshamba_hachekwi
Mmeicheki hii. Ni Anime ya USA ila ni singo
Mortal Kombat Lengend: Snow Blind ya 2022View attachment 3366536