Aron Bayezeko Joseph
Member
- Sep 23, 2017
- 28
- 23
Ngoja nicheki trela ya the sinnerPeaky Blinders
The Sinner
The Gentlemen
Slow horses
Sinner kama ni ile single nimeiona, hizo zingine itabidi nidownloadPeaky Blinders
The Sinner
The Gentlemen
Slow horses
Pablo escobar umejichanganya ulijua unaangalia Narcos π πNimejichanganya apa nimeidownload From ndo naianza muda huu naona kabisa nimejichanganya genre yake nilipaswa nianze nayo mchana
ππππSinner kama ni ile single nimeiona, hizo zingine itabidi nidownload
Nimejichanganya apa nimeidownload From ndo naianza muda huu naona kabisa nimejichanganya genre yake nilipaswa nianze nayo mchana
Conrad na ubabe wake wote hapa anapiga magotiUyu Bibi Maeve anatukana,roho mbaya pia kama kamtawala sana Conrad namfananisha na Huleim Sultana wa kwenye Sultan na Cersei Lannister wa GoTView attachment 3362568
HD imeshatoka
Hizi mambo za majamaa kutoa smile la kutisha zinakera sana mida ya usikuππPablo escobar umejichanganya ulijua unaangalia Narcos π π
Hahahaha unaota ukiitwa ufungue dirisha kwa smile tamuπππ€£π€£ hawa ghost hawa!!!!ππΎππππ
kama Mimi niliyekuwa hadi naiota usiku niliweza kuimaliza, utaimaliza pia bila shaka Pablo..!!
ππππHahahaha unaota ukiitwa ufungue dirisha kwa smile tamuπππ€£π€£ hawa ghost hawa!!!!ππΎ
Mwambie Carleen kabisa awe na mtu wa kumpokeza machoziDah Vincenzo Jr we na Dr. Mariposa mlikuwa sahihi hii movie ya straw ni kali balii ipo very emotional Carleen kaitafute uangalie ni nzuri mno
Kabisa aandae kabisa kama ni tissue au kitambaa mapema
Halafu nimetoka itazama trailer yake Leo, nikamuona yumo Taraji na Teyana..!!Dah Vincenzo Jr we na Dr. Mariposa mlikuwa sahihi hii movie ya straw ni kali balii ipo very emotional Carleen kaitafute uangalie ni nzuri mno
πππππ
Ndio mkuuHD imeshatoka
Na Kuna chuma kingine hiki hapa kitafuteni wanangu ππDah Vincenzo Jr we na Dr. Mariposa mlikuwa sahihi hii movie ya straw ni kali balii ipo very emotional Carleen kaitafute uangalie ni nzuri mno
Hapo utakoma hiyo the sinner ni series sio ile singo mkuuSinner kama ni ile single nimeiona, hizo zingine itabidi nidownload
Nimejichanganya apa nimeidownload From ndo naianza muda huu naona kabisa nimejichanganya genre yake nilipaswa nianze nayo mchana