Daah mimi ndio napenda etBasi mm huwa naboreka pale napoona ma directory wengi wanakosa idea ya kutoa series tofauti utakuta Wana copy mambo ya fbi, csi, cia,etc mfano Blacklist, Blindspot, Quantico, homeland, True detective, crisis zipo kibao zinafanana idea
Sidhani kama wana copy inaweza kua wananunua haki ya kucheza tukio furani.matukio mengi yaliyotokea kweli wanayachezea series au movie na mhusika analipwa.mfano movie moja hv inaitwa the godfather kama sikosei ya mwaka Kati ya 2008 -2011 ni tukio la kweli la jamaa alieua familia yake yote na kutokemea mji mwingine na kuoa mke mwingine.Basi mm huwa naboreka pale napoona ma directory wengi wanakosa idea ya kutoa series tofauti utakuta Wana copy mambo ya fbi, csi, cia,etc mfano Blacklist, Blindspot, Quantico, homeland, True detective, crisis zipo kibao zinafanana idea
Daah mimi ndio napenda et
Ingekuwa poa kweli kama kungekuwa na group la whatsappJaman kama kuna group whatsapp linalo husu series especially series za kimagharibi naombeni mni add mana nahisi napitwa na mengi. Also nataka nijichanganye na wadau wa movies zaidi...
Legend of seeker naiona kama ya kitoto sana. Mi niliicheki mwaka 2009 mwishoni..Kwa mimi hizi pia:
-War&peace.
-The legend of the seeker.
-Beauty&beast.
-Devious Maids.
Number yangu no 0744195490Jaman kama kuna group whatsapp linalo husu series especially series za kimagharibi naombeni mni add mana nahisi napitwa na mengi. Also nataka nijichanganye na wadau wa movies zaidi...
Number yangu ni 0658000443 Naomben kama kuna group mni add na mieNumber yangu no 0744195490
uu ina nini ,mie ndo movie zangu hizo ninazozipendaMkuu huwa tuko pamoja kwenye ancient series but hizo mbili za witches zimenishinda shannara nilishusha episode 4 nimejaribu vumilia imeshindikana
Mie burudani tu as long as matukio yanatofautiana.Hili nalo ni jipu
Mie za mauchawi sijui mazombie yaani hataaa zimenishinda.Very true naona wameamua kulazimishia tamaduni zao za kipuuzi tuzione kawaida