Series (Special thread)

Ngoja niitafute niipakue

Nami nimtoe machozi mtoto wa mtu 😁
 
FARGO

Jamaa yenu kaua mkewe Tyr kisa kuambiwa yeye hajawahi kuwa wa kiume.

Bado sija maliza episode 1 ila shetani hutumia njia ndogo tu kufanya kazi yake.
Hiyo series inatakiwa uiangakie kukiwa hakuna kelelekelele wala majibizano na watu wa pembeni. Kuna chenga za maneno alikuwa anawapiga polisi mtazamaji unabaki unacheka tu. Hiyo inapaswa ufuatilie neno kwa neno uone namna watu wanaruka visanga vinavyo wakabili

Mwamba kamsukumia bro wake msala
 
I
Ina lugha ya zaman kidgo sijapenda technology Yao ya maisha na ilitoka 2014 tu hapo.
 
View attachment 3354901
Kwa upande wangu hizi series sijui kwa nini zilikatishwa wakati zilikuwa nzuri tu Vincenzo Jr Dr. Mariposa Carleen Mr Q
Series kukatishwa inaweza kua sababu kama,
1. Watazamaji kupungua, hizo kampuni kubwa zinategemea viewers ili kupata faida walizowekeza
2. Gharama za uandaaji kua kubwa, hizo series za historical na fantasy zinatumia gharama kubwa kwenye mavazi, mazingira na hata technology inayotumika so tunarudi kule kule kama watizamaji wakipungua inamaanisha hawapati faida ya kuwafanya waendelee
3. Wahusika wakuu kupata madeal mengine na hivyo kushindwa kupatikana
4. Ushindani wa series, kama ujuavyo Netflix ni kampuni kubwa inashusha vitu vikubwa vikubwa sasa unaweza ukatoa series yako sasa hivi ikakutana na One Piece au Wednesday je itatoboa kwa hao mabwana? ukilegea kidogo unatupwa nje mazima
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…