Series (Special thread)

Wasiishie szn3 watuletee 4 amd 5. Michezo haijaisha dunini. Hii wakiamua wanaweza kuipelekea hadi season 10
Me naona waishie season 3 tu maana ni series chache zimefanikiwa kuwa nzuri kila season inavyongezeka, hivyo kama wataweza kufanya hivyo sawa ila kama wakishindwa series itapoteza mvuto, hivyo ni bora waishie kipindi watu wanaipenda
 
Tulieni kwanza πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
πŸ˜†πŸ˜† watu hawajaikubali sinners ila ukiangalia wale watu wa awards wanasema hii movie ni oscar nomination worthy, hivyo hata isipo chukua kuwa tu kwenye nominess za oscar ni kitu kikubwa, sawa inaweza kuwa na action ya hovyo hata effect isiwe nzuri ila ina theme nzuri inaongelea kuhusu freedom, slavery, culture, music.
Movie kama emilia perez ya kwaida na west side story ile remake ni za mbovu mno ila zilikuwepo kwenye nominess ni zikachukua baadhi ya category
 
Exactly πŸ’― brother
 
Hiyo yote sababu game lake haujawahi kucheza ili uelewe story yake
mi naona hata kama hujawahi kulicheza game lake, last of us ni nzuri, story yake inaeleweka labda kama sio mpenzi genre yake sawa, ila umeiangalia kwa kupenda genre yake mwanzo mpaka mwisho alafu ukaipa 4.4 /10 duh 😲
 
mi naona hata kama hujawahi kulicheza game lake, last of us ni nzuri, story yake inaeleweka labda kama sio mpenzi genre yake sawa, ila umeiangalia kwa kupenda genre yake mwanzo mpaka mwisho alafu ukaipa 4.4 /10 duh 😲
Exactly πŸ’― brother na ipo fresh maana Kila EP inaeleweka mfano hii season 2 ni Kali sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…