kweli mimi niliangalia kidogo nikaona uhuni ni mwingi unazidi hadi stori yenyewe nikaachaHii SINNERS hype iliyopewa ni kubwa sana tofauti na uhalisia ukiachana na dialogues na language slang
Sijaona cha maana action ni kawaida sana na uongo mwingi, mtu kujikata mkono na damu kuruka kama maji ya kandoro yaliyotobolewa na toothpick that was too much!
But i liked how brothers smoke and stack cared for each other .
Maeve bibi wa hovyo sana yule...🔥🔥
Season 2 wailete tu haraka, maana twist imefanyika humo siyo poa..!!🙌
Niliwaambia watu humu rat hakuwa Maeve..!
Nimejaribu jana kuiangalia ikanishinda nikaipiga chini, japo nimeiweka kwenye whitelist labda kuna siku nikichanganyikiwa na mambo yangu ntaizingatia..kweli mimi niliangalia kidogo nikaona uhuni ni mwingi unazidi hadi stori yenyewe nikaacha
Jamaa ana roho mbaya sana huyu
No hajipoteza mvuto wanafata story ya game lake kufa kwa Joel ilikuwa sahihi hata kwenye game alifariki piaThe Last of Us season 3 inaweza isiwepo, hii season 2 imepoteza mvuto kabisa naona baada ya kifo cha Joel story imekua kama haieleweki
Tulieni kwanza 😃😃kweli mimi niliangalia kidogo nikaona uhuni ni mwingi unazidi hadi stori yenyewe nikaacha
Sehemu ya pili ndio mtajua wale mapacha walitokea wapi maana hii ya sasa tumepewa story ya Sammi au dosho12 unasemaje kaka 😂 😃 na tutapewa story ya wale vampaya walitokea wapiNimejaribu jana kuiangalia ikanishinda nikaipiga chini, japo nimeiweka kwenye whitelist labda kuna siku nikichanganyikiwa na mambo yangu ntaizingatia..
Sema Peter alizingua sana yule demu kamtreat vibaya pale mwishoniWakuu hii The Night Agent nilichelewa kuijua aisee salute, nampenda Rose hajazubaa akiona Peter anazidiwa anakuja na kirungu kumaliza kazi
Sio mpenzi sana wa movies/series za action na hasa upelelezi ila hii nimeipenda
Mwanetu Sammi kaupiga mwingi mule
😃😃😃Kuna yule mwamba alimkaribisha yule mwamba ndani kwake walikuja watu wema kumpanga amtoe yule jamaa mwamba akawa mbishi kilichofuata ni majanga tu 😃😃hii sinners nilipoteza masaa mawili kumbe ni ya mazombi upumbavu tu
well... Kama wewe ni mpenzi wa secret societies na mambo yao itakufaa. Kwa macho ya mtu wa kawaida utaiona ni muvi ya kawaida ila kama unazijua alama za illuminates humo zimejaa.
na ndio mana muvi imepasua anga kwa sabbu imebeba ajenda zao.
kuna songi la mazombi limepigwa nnauhakika huko kwenye matempo yao ndio nyimbo zao sema hapa wanatumegea kidogo tu.
kuna songi lingine lilikuwa linakolezwa na Dada kavaa viatu vyenye visigino virefu, ukiangalia style ya uchezaji unaona kabisa hawa ni skull&bone society
ni maoni yangu
Kwakweli kwangu mimi muvi za mazombi au vampires sizipendi. Muvi nnayo ikubali ni moja tu inaiwa😃😃😃Kuna yule mwamba alimkaribisha yule mwamba ndani kwake walikuja watu wema kumpanga amtoe yule jamaa mwamba akawa mbishi kilichofuata ni majanga tu 😃😃
Pale wakorea walitengeneza movie Bora sanaKwakweli kwangu mimi muvi za mazombi au vampires sizipendi. Muvi nnayo ikubali ni moja tu inaiwa
train to busan
sijawahi ona muvi ya mazombi nzuri kama ile. Niliekua naangalia nae nilistukia tu anafuta machozi. Nikagonga mhuri kabisa kwamba sidhani kama kuna muvi nyingine nzuri kama hii
Wasiishie szn3 watuletee 4 amd 5. Michezo haijaisha dunini. Hii wakiamua wanaweza kuipelekea hadi season 10June hii Kuna vayolensi😎
View attachment 3354315
Naunga mkono hojaWasiishie szn3 watuletee 4 amd 5. Michezo haijaisha dunini. Hii wakiamua wanaweza kuipelekea hadi season 10