adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 4,581
- 7,752
Mizigo ya Anime imenifanya niwe mbabe sana.Mana kuna mavitu toka nakua yalinivutia kucheza michezo ya Kiyakuza na Ip Master japo si sana😀😀😀😀You are missing out Brother.
Ulimwengu wa anime/animated series una plot na story zinazofikirisha na kuburudisha ajabu.
Kama unaweza kutazama TV series kama Game of Thrones kwanini ushindwe kutazama anime/animated series?
Hata mimi kitambo sana niliwahi kuwa na mindset inayoniambia kuwa anime/animated series sio vitu serious, ila nikajiuliza kama naweza kusoma fiction books na kuangalia fantasy movies/series kwanini nishindwe kuangalia anime/animated series. Nilianzaga na Avatar: The last Airbender, eeeh bwana eeeh baada ya hapo...
Nisikuchoshe, kula kigongo hiki 👇👇👇👇
The Haunting of Hill House
View attachment 3322358
valhalla nasikia wamei cancelRagnar then Valhalla
Nitumie cover yake mana mmeisema sana.hii fargo is so "funny" 😁😁😁 ngoja nikomae nayo kwanza
😀😀😀Kiswahili Tribe 🤣🤣🤣
Ni story tofautiNipeni hints za fringe nijue upo kama FROM au ipoje kabla sijashusha
Ukimaliza pita na barry serieshii fargo is so "funny" 😁😁😁 ngoja nikomae nayo kwanza
BarryWakuu nahitaji msaada wa haraka kuelekea weekend naombeni series mbili tu za kuangalia zingatia latest nyingi nime watch tayari
Trauma codeWakuu nahitaji msaada wa haraka kuelekea weekend naombeni series mbili tu za kuangalia zingatia latest nyingi nime watch tayari
Mkuu naomba link ya Fargo ili nishuke nayo mana Ile Barry niliipenda Sana.Barry
Fargo
Cover lake halieleweki ila ukienda site za kuidownload ipo yenyewe tu nadhani ya 2014 na ni series. Halafu kuna movie moja. So utaachana na muvi wewe dili na hiyo seriesNitumie cover yake mana mmeisema sana.
Oya mzee Walter Bishop akili nyingi, Fringe Division
Nipo season ya 2 nakushauri icheki, sayansi nyingi Sana humu, mystery nyingi, na upelelezi ndani.Mimi fringe sijawahi kuona kabisa
Mtoto mzuri kama keki walahi ,😎Huyu manzi..anatumia jina la Zosia kwenye hiyo MobLand..
View attachment 3347558View attachment 3347559
Naunga mkono hojaNipo season ya 2 nakushauri icheki, sayansi nyingi Sana humu, mystery nyingi, na upelelezi ndani.
Huyu mzee uhusika wake kautendea Haki hii series yule Olivia Dunham fundi sana yule dadaOya mzee Walter Bishop akili nyingi, Fringe Division
Mkuu naomba link ya Fargo ili nishuke nayo mana Ile Barry niliipenda Sana.
Na dope thief nayo imeisha vzur sana.
Mkuu naomba link ya Fargo ili nishuke nayo mana Ile Barry niliipenda Sana.
Na dope thief nayo imeisha vzur sana.
Alafu anajikuta selaMtoto mzuri kama keki walahi ,😎