Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 3,350
- 6,419
Noma sana mkuu haichoshi kuitazamaHii series Kuna Convo kalii mno
😃😀😀Ila Harry alijikaza sana asimpasue hata vibao viwili vitatu kijana wa hovyo Eddie baada ya kujua anamkula binti yake.
Da Souza ana mikakati mikubwa mno na hesabu za mbali, hakurupuki anapofanya jambo kwa kuendeshwa na hasira, check toka awali anachofanya kinafanikiwa kwa kuplan kwanza sio mihemko... Hata Eddie alkua anaweza mfanya chochote pale ila ndo kama hivyo kuna kauli moja tu alimpa mpaka Eddie mwenyewe alipagawa kwanza kabla akili haijamrudia tena...Ila Harry alijikaza sana asimpasue hata vibao viwili vitatu kijana wa hovyo Eddie baada ya kujua anamkula binti yake.
Hii series Kali sana yaani sanaDa Suza ana mikakati mikubwa mno na hesabu za mbali, hakurupuki anapofanya jambo kwa kuendeshwa na hasira, check toka awali anachofanya kinafanikiwa kwa kuplan kwanza sio mihemko... Hata Eddie alkua anaweza mfanya chochote pale ila ndo kama hivyo kuna kauli moja tu alimpa mpaka Eddie mwenyewe alipagawa kwanza kabla akili haijamrudia tena...
Harry Akili nyingi hata Conrad analijua Hilo na anamuheshimu na kumuogopa Harry ilaDa Suza ana mikakati mikubwa mno na hesabu za mbali, hakurupuki anapofanya jambo kwa kuendeshwa na hasira, check toka awali anachofanya kinafanikiwa kwa kuplan kwanza sio mihemko... Hata Eddie alkua anaweza mfanya chochote pale ila ndo kama hivyo kuna kauli moja tu alimpa mpaka Eddie mwenyewe alipagawa kwanza kabla akili haijamrudia tena...
Yes series za England inabidi utulize kichwa kabisa, na mara nyingi convos ndiyo zinabeba directionHii series Kuna Convo kalii mno
Toto linadharau kinomaIla Harry alijikaza sana asimpasue hata vibao viwili vitatu kijana wa hovyo Eddie baada ya kujua anamkula binti yake.
Uko sahihi, Harry hamuogopi kabisa Conrad ila anamu heshimu tu, sabu Harry sindo mzee wa kumaliza issues tata za Conrad na mzee analijua hilo bila Harry kufix mishe zake mbovu hana mwingine...Harry Akili nyingi hata Conrad analijua Hilo na anamuheshimu na kumuogopa Harry ila
Harry hamuogopi Conrad anamuheshimu tuu kama Boss
Exactly 💯 mkuu Kuna ile Moja inaitwa behind her eyes nayo sio powa Convo zakeYes series za England inabidi utulize kichwa kabisa, na mara nyingi convos ndiyo zinabeba directionya matukio kwenye series zao, sometimes bila subtitle unaweza toka patupu ni kama movies na series za wa Australia tu wanafanana sana uigizaji wao hata swaggers zao...
Na ni mlevi wa madawa ya kulevyaToto linadharau kinoma
Mwamba alimwambia ukionyesha Tabia njema kama kijana anayeweza kuwa na bint yangu Mimi sina noma nitakubaliana nawewe
Kitu ambacho kigumu Kwa tabia za Eddie ni mshenzi muuaji pia
Mbaya zaidi bibi yake ndo anamjaza kichwa sasa na kumpa mihadaratiToto linadharau kinoma
Mwamba alimwambia ukionyesha Tabia njema kama kijana anayeweza kuwa na bint yangu Mimi sina noma nitakubaliana nawewe
Kitu ambacho kigumu Kwa tabia za Eddie ni mshenzi muuaji pia
Huyu dogo yupo kwenye series Moja hivi inaitwa the boysTafadhali tafadhali. Kama unataka siku yako iende vizuri usiache kuangalia muvi hii inayo itwa
novocaine.
hutajutia
View attachment 3299259
Bila kuangalia rates za mitandaoni mi naizawadia 8/10
Itabidi nianze kuzizingatia series za WaingerezaYes series za England inabidi utulize kichwa kabisa, na mara nyingi convos ndiyo zinabeba directionya matukio kwenye series zao, sometimes bila subtitle unaweza toka patupu ni kama movies na series za wa Australia tu wanafanana sana uigizaji wao hata swaggers zao...
Series zao huwa ni Kali mnoItabidi nianze kuzizingatia series za Waingereza
Wazingatie wako vizuri sana.. kuna - The Night Manager na Black Mirror unaweza ziweka kwenye list yako, zingatia convos sana hawa jamaa wana convos zao sio poa wanaweza kukuacha huelewi kitu usipokua makini..Itabidi nianze kuzizingatia series za Waingereza
The night maneger yule jamaa alipiga harakati zake kwa hatari mnoWazingatie wako vizuri sana.. kuna - The Night Manager na Black Mirror unaweza ziweka kwenye list yako, zingatia convos sana hawa jamaa wana convos zao sio poa wanaweza kukuacha huelewi kitu usipokua makini..
Kabla ya kwenda kuipakua Inahusu nini hyo Behind her eyes? 🤔Exactly 💯 mkuu Kuna ile Moja inaitwa behind her eyes nayo sio powa Convo zake
Bila subtitles hutoboi 🤣🤣Wazingatie wako vizuri sana.. kuna - The Night Manager na Black Mirror unaweza ziweka kwenye list yako, zingatia convos sana hawa jamaa wana convos zao sio poa wanaweza kukuacha huelewi kitu usipokua makini..