Me nlijua tayari maeve ndio snitch au kuna mwingine
trust me kuna rat mwingine mule ndani, umejiuliza kwanini Harry hajasema kwa yoyote yule kile alichoambiwa na Freddy..?? nahisi anafanya makusudi inawezekana na yeye ana mipango yake kichwani..!!maeve ndio muhuni pale
πππyour are welcome
Ukitaka movie za horror umecheki Angel Nylon au Carleen za ngumi mapanga ,vita Mr Q za historical Dr. Mariposa na chochote kuhusu movie/series unamcheki Vincenzo Jr πππ
Nilirudia ya kwanza ili kujikumbushia ndiyo nikaja ya pili ila nimeishia njiani sijui kwanini tu, Vincenzo Jr njoo niambie ni kali..!πHivi wakuu Accountant 2 ina quality nzuri? Nataka niishushe
Au itakuwa ni Seraphinatrust me kuna rat mwingine mule ndani, umejiuliza kwanini Harry hajasema kwa yoyote yule kile alichoambiwa na Freddy..?? nahisi anafanya makusudi inawezekana na yeye ana mipango yake kichwani..!!
Maeve ni kweli nia yake ilikuwa kumuumiza mumewe, ila naamini kuna baadhi ya vitu hawezi sema kwa adui, yupo mwingine anauza ramani ya vita ya familia kwa ukubwa..!!
1st June siyo mbali, ngoja tuone...!
Ila wabongo tuna akili hatuwezi kuishi kwenye nyumba umeambiwa kuna mtu aliua familia yake yote kisha na yeye kujiua, au nyumba ipo peke yake kwenye misitu πππππ
at all things, horror...??
naona shida yako ni niache kuota zile ndoto zangu nzuri za kwenda honeymoon ughaibuni, nibaki naweweseka na kukemea kila leo..!!
Hata Jaime alimuuliza Harry kuhusu rat harry akamjibu kuwa anamjuatrust me kuna rat mwingine mule ndani, umejiuliza kwanini Harry hajasema kwa yoyote yule kile alichoambiwa na Freddy..?? nahisi anafanya makusudi inawezekana na yeye ana mipango yake kichwani..!!
Maeve ni kweli nia yake ilikuwa kumuumiza mumewe, ila naamini kuna baadhi ya vitu hawezi sema kwa adui, yupo mwingine anauza ramani ya vita ya familia kwa ukubwa..!!
1st June siyo mbali, ngoja tuone...!
Nipo episode ni interesting kweli kwa wanaopenda vitu vya kufikirishaIzingatie vizuri ni series kali japo kwangu niliona season 1 inatosha kabisa.
Series inachangamsha akili ileHata Jaime alimuuliza Harry kuhusu rat harry akamjibu kuwa anamjua
Sema Kuna kauli aliongea Conrad
"Eddie don't forget to feed the dog..."
Hii kauli inamaanisha kitu sio bureπ€
Kumbe ndio maana Harry alimpoteza jamaa kikatili...kamshtukia episode ya 9,
Ila rat wa familia tutakuja mjua episode ya 10 nadhani, maana Harry ashaambiwa na Freddy kabla hajamrusha toka ghorofani..!!
Me naikubali brave na terminal list, je vipi special ops au treadstone ni kali pia hzo nyingie sijawahi kuzionaBado sijafanikiwa kukutana na series kali za Military drama zaidi ya:
1. Seal team
2. Seal team six
3. Terminal list
4. Strike back
Ingawa kuna 68 Whiskey pamoja na Brave ila hizo nne juu hapo ni hatari. Kwakua hakuna kazi mpya za kibabe naanza kuirudia Seal team upyaaa......naomba kama kuna mdau ana propose chuma kali za design hiyo apo juu aniwekee wakuu kuirudia series kunataka moyoπ
Lastship ni kali piaBado sijafanikiwa kukutana na series kali za Military drama zaidi ya:
1. Seal team
2. Seal team six
3. Terminal list
4. Strike back
Ingawa kuna 68 Whiskey pamoja na Brave ila hizo nne juu hapo ni hatari. Kwakua hakuna kazi mpya za kibabe naanza kuirudia Seal team upyaaa......naomba kama kuna mdau ana propose chuma kali za design hiyo apo juu aniwekee wakuu kuirudia series kunataka moyoπ
ni hioKwa sasa series kali humu ndani ni Mobland au Kuna nyingine wakuu nilikuwa naangalia last of us S02 naona Bado
Special ops nimeiona, ila treadstone sijaiona. NiraitafutaMe naikubali brave na terminal list, je vipi special ops au treadstone ni kali pia hzo nyingie sijawahi kuziona
πππππππNilirudia ya kwanza ili kujikumbushia ndiyo nikaja ya pili ila nimeishia njiani sijui kwanini tu, Vincenzo Jr njoo niambie ni kali..!π
Ni nzuri sana ileMOBLAND bado inaleta hamu sana
Kuna Ile Ep ya 6 au 7 mzee Conrad na familia yake walikuwa wakimdhihaki mzee wangu Richie kwenye simu baada yakutoka msibaniMOBLAND bado inaleta hamu sana
Hii series Kuna Convo kalii mnoKuna Ile Ep ya 6 au 7 mzee Conrad na familia yake walikuwa wakimdhihaki mzee wangu Richie kwenye simu baada yakutoka msibani
Conrad alimdhihaki sana Richie kuhusu kifo cha mkewe akamuiliza je Richie unasemaje mzee alijibu jibu Moja tuu akamwambia "RUN
Nilipenda sana kipande kile