Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,212
- 79,698
Watazamaji wamepungua hii ilipigwa na adolescenceView attachment 3343596
Namna gani pale!
Mi mvivu wa kutumia VPN NGOMA INA LOAD TU
Tumia 1.1.1.1 vpn ndio vpn bora ya muda wote kakaMi mvivu wa kutumia VPN NGOMA INA LOAD TUView attachment 3343641View attachment 3343642
Playstore?Tumia 1.1.1.1 vpn ndio vpn bora ya muda wote kaka
Mbona ni nzuri tuππ
Movie kama ile haipaswi kuwa ndefu.mbona ni nzuri tu bwashee
ni kweli season 1 na 2 wamezunguka mno ila me naona huenda ni sehemu ya story au labda wanapenda ziwe season nyingi ππ ila alice mimi mpaka sasa hivi sijaelewa ile ilikuwa ni ndoto au walienda kweli, na kama ni ndoto season 3 itakuaje watarudi kwenye ndoto au mpaka sasa bado wapo kwenye game ila hawajui tuMovie kama ile haipaswi kuwa ndefu.
Niliifurahia mwanzoni, niliamini itakuwa fupi kama movie zingine za aina hiyo mfano Alice in the Borderland, All of us are dead, Hellbound...
Nikashangaa wanarefusha muundo, mpaka msimu wa 3 wanatuzungusha tu...
tamaa tu.labda wanapenda ziwe season nyingi ππ
LikewiseMi mvivu wa kutumia VPN NGOMA INA LOAD TUView attachment 3343641View attachment 3343642
Kama haujacheki lost hii hauwezi kuielewa mkuuMovie kama ile haipaswi kuwa ndefu.
Niliifurahia mwanzoni, niliamini itakuwa fupi kama movie zingine za aina hiyo mfano Alice in the Borderland, All of us are dead, Hellbound...
Nikashangaa wanarefusha muundo, mpaka msimu wa 3 wanatuzungusha tu...
Ndio kakaPlaystore?
Mtafute Carleen uangalie nae, kuanzia sasa hivi Vincenzo Jr usiposti movie ambayo sio ya horror wala kumpa list ya movie nyingine mwaka huu angalie horror mpaka azoeeπππNaangalia Fear street..prom queen
ππππMtafute Carleen uangalie nae, kuanzia sasa hivi Vincenzo Jr usiposti movie ambayo sio ya horror wala kumpa list ya movie nyingine mwaka huu angalie horror mpaka azoeeπππ
watu wapo theater mkuu tupo sisi tu ππKwahiyo humu wote tunasubiri vya bure hamna aliyeenda kuangalia mission impossible mbona hamuiongelei?
Kwahiyo humu wote tunasubiri vya bure hamna aliyeenda kuangalia mission impossible mbona hamuiongelei?
πππwatu wapo theater mkuu tupo sisi tu ππ
Ni Kali sana mwanangu π π π₯πππ
Ngoja tusubiri mirejesho ya 'ni kali balaa' ama 'wamezingua kinoma', ndiyo tutajua tupo pamoja ama wengine ni wasindikizaji wenzetu..!