Naona horror zimenishinda kiukweli, tchaaah'..!!πBasi Sikiliza tu usiangalie πππ au angalia movie nyingi za kutisha ili uzoee
Mwambie vin akupe list ya horror uangalie weekend hii za kutosha tena zile hardcore baada ya hapo From utaona ni kawaida tu πππNaona horror zimenishinda kiukweli, tchaaah'..!!π
yewooooomiii,Mwambie vin akupe list ya horror uangalie weekend hii za kutosha tena zile hardcore baada ya hapo From utaona ni kawaida tu πππ
Mi huwa nazipenda zile horror ambazo mpaka unaogopa hata kwenda Toilet usiku, kuna movie moja nijifanya mbabe nataka niangalie usiku mida ya saa nne hivi,ππ ila niliishia dakika kumi tu nikasema hapana nitangalie kesho mchanaππyewooooomiii,
unataka nipige ukunga mpaka sauti ifike JF..??
πππππMi huwa nazipenda zile horror ambazo mpaka unaogopa hata kwenda Toilet usiku, kuna movie moja nijifanya mbabe nataka niangalie usiku mida ya saa nne hivi,ππ ila niliishia dakika kumi tu nikasema hapana nitangalie kesho mchanaππ
Mimi ilinishinda sio kwa sababu ya kutisha ila sikuipenda tuVincenzo Jr nimeishia Season 2 episode ya 8 kwenye From, mzee nimeshindwaa..! naota kila siku wale viumbe, mpaka nimeacha kutazama ila bado nawaota kinachouma ni kuwa story inaendelezwa ndotoni na kuna character wanaongezeka, walaqhi' najuuuta..!!π₯Ή
utakuwa unapenda hekaheka, vita ni vita muraaa, ndiyo maana ikakushinda inawezekana...Mimi ilinishinda sio kwa sababu ya kutisha ila sikuipenda tu
Mbona ni nzuri tuππDr. Mariposa nikaangalia From kwasababu yako, kumbe mbayaaa...
mbona ni nzuri tu bwasheeDr. Mariposa nikaangalia From kwasababu yako, kumbe mbayaaa...
Mwambie vin akupe list ya horror uangalie weekend hii za kutosha tena zile hardcore baada ya hapo From utaona ni kawaida tu πππ
Hizo zitamfaa achague kama nne hivi kwa weekend hii atazoea tu. Dawa ya sumu ni sumu πππ
hizi zitamfaa sana
dah pole mwanangu kuna yule jini ana smile mda wote mule sio powa anatisha mno kuna siku nilikuwa nimetoka kariakoo saa 9 usiku nikaingia kigamboni saa 9 kama na 30 hivi aloo lile giza nilipiga yowe kwa nje nilikutana na wadau nikazani ni wale wasela wa kwenye from kumbe ni sungu sungu tu kuanzia pale safari za usiku nilisitisha walahiVincenzo Jr nimeishia Season 2 episode ya 8 kwenye From, mzee nimeshindwaa..! naota kila siku wale viumbe, mpaka nimeacha kutazama ila bado nawaota kinachouma ni kuwa story inaendelezwa ndotoni na kuna character wanaongezeka, walaqhi' najuuuta..!!π₯Ή
kabisa kaka humo kuna mikwaju mikali mnoHizo zitamfaa achague kama nne hivi kwa weekend hii atazoea tu. Dawa ya sumu ni sumu πππ
Unamkumusha tena huyo smiley wakati mwezako kasema anataka kuwasahau, π π π yeye ndotoni kaishafika season 6, maana kasema akilala story inaendelea na hao jamaa wanazidi kuongezekaπππdah pole mwanangu kuna yule jini ana smile mda wote mule sio powa anatisha mno kuna siku nilikuwa nimetoka kariakoo saa 9 usiku nikaingia kigamboni saa 9 kama na 30 hivi aloo lile giza nilipiga yowe kwa nje nilikutana na wadau nikazani ni wale wasela wa kwenye from kumbe ni sungu sungu tu kuanzia pale safari za usiku nilisitisha walahi
series hii sio powa afu season 3 imeishia patamu mnoUnamkumusha tena huyo smiley wakati mwezako kasema anataka kuwasahau, π π π yeye ndotoni kaishafika season 6, maana kasema akilala story inaendelea na hao jamaa wanazidi kuongezekaπππ
Sana wasije wakatukalisha miaka miwili kusubiriaseries hii sio powa afu season 3 imeishia patamu mno