ππππWale jamaa walinifanya niache kwenda kazini saa 10 za usiku maana huku kigamboni Kila kona misitu ππ unaweza ukakuta mti njiani baadae ukaingia kile Kijiji ukamuona Boyd anapiga kengele aisee
ππππAu upo zako kwenye gari unaona njiani gogo la mti barabarani ππ
Ni balaa mno ππππππ
au ile unaangalia horror movie mwenyewe usiku kisha uzime taa uone kivuli chako mwenyewe, ama usikie mlio huuelewi..!!π
hii si ya kukosa nipo zangu beijing sasa hivi kwenye chu han theater najiandaa kuangalia πππTarehe 23 mzigo una achiwa online, vipi Watu8 movie theater za bongo wamesha weka hata post kuwa wata onyesha?
India tayari iko jumba la maonyesho, china, dosho12, Razorblade, Selikavu, min -me
View attachment 3338837
Nasubiria kuona Ethan ata chomoka vipihii si ya kukosa nipo zangu beijing sasa hivi kwenye chu han theater najiandaa kuangalia πππ
Mapema tu mlimani, ngoja nimtafute mdada mmoja chizi movie chapπ
Hii lazima niitazame pale century cinemax
MI iliyopita niliangalia mlimani pale hii nayo sitaki kusubili mpka online
Upo kama Mimi mkuuMI iliyopita niliangalia mlimani pale hii nayo sitaki kusubili mpka online
Nimetoka kuicheki muda huu, ipo so emotional, Joel alitia huruma sana ila somehow alideserve the way Ellie alivyomkasirikia.... sijui kwanini natamani waoneshe kua hakufaπ₯ΊπThe last of us EP ya 6 ipo online Cc dosho12 Dr. Mariposa
Unipitie nitakua Nolasco πHii lazima niitazame pale century cinemax
Ilikuwa lazima afe tuNimetoka kuicheki muda huu, ipo so emotional, Joel alitia huruma sana ila somehow alideserve the way Ellie alivyomkasirikia.... sijui kwanini natamani waoneshe kua hakufaπ₯Ίπ
Upo mtaani kwangu Kabisa nakupitia hapo tukaenjoy ukiona Subaru nyeupe Ina zagaa zagaa ndio Mimi huyo ππUnipitie nitakua Nolasco π